Tulonge

Views: 153

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dunda on November 20, 2013 at 19:13

Naiyona manati ya kisasa

Comment by Dixon Kaishozi on October 29, 2013 at 22:18
Kaka Chaoga toa hofu kama aliyonayo Dismas.. it safe here.. hata Angela na Christer wakija this time lazima wakafanye range..wacha Dismas abaki na woga wake..hahaa. karibu sana.
Comment by chaoga on October 29, 2013 at 14:44

Hapa pananifaa kabisa kupatembelea...

Comment by Mama Malaika on October 29, 2013 at 13:20
Ha haaa haaaa... maji ya Coca yako tofauti, kwa macho tu wayajua.
Comment by Dixon Kaishozi on October 28, 2013 at 16:31
Hahahaa... mambo yakusubiri karate hayapo.. we ukianza... huuuu haaaa.. mi nikirushia hukohuko.. hahahaa.. nitakupa ujatibishe hili toy..
Comment by Tulonge on October 28, 2013 at 16:19

Yani hizo karate unazocheza hazikutoshi hadi umeamua kununua na hii? au ni toy?

Comment by Dixon Kaishozi on October 28, 2013 at 13:30
Wala usihofu.. alafu kumbe we msomi.. hehehe unafikiri hiyo glass ina coka tu ?
Comment by Mama Malaika on October 28, 2013 at 12:24
Wewe nipe container yote ya karanga nami nakuachia rafiki yangu mpendwa Jack Daniels. Teh teh...
Comment by Dixon Kaishozi on October 28, 2013 at 12:18

Hahaha.. Karibu.. Hapo karanga wapimiwa na kifuniko cha maji.. hakuna kupunjana!!

Comment by Mama Malaika on October 28, 2013 at 12:03
Mie nakuja kudokoa karanga ingawa wazilinda na bunduki. Teh teh teh....

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*