Tulonge

Alfan yuko wapi

Views: 143

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on November 26, 2012 at 16:17
yani hapo roho inaniuma kinoma, ningekuwepo ningevirambaramba vikonokono vyote,
Comment by Mama Malaika on November 23, 2012 at 3:31

Mama Manka endelea iko siku uta stop ili mradi unakuwa makini nini unakula na nini unakunywa. Mie kuna kipindi nilijiachia, nimejitahidi na mazoezi pia kazi za ndani nafanya kwa kuinama (kufagia, kupiga deki, etc) ajili ya tumbo na hivi sasa nimepungua uzito na ninavaa nguo size 10. 

Comment by Mama Malaika on November 23, 2012 at 1:45

mie hapo niwekee na kapilipili kichaa kwani kanakolea mushingo. Ha haa haaa

Comment by Gratious Kimberly on November 23, 2012 at 1:04

Haaaa   Mama Malaika hao kweli wamejaa nutrients  na protini za kumwaga.....shida ni pale mtu kuwazoea kula....wabichi hao eti ( at a certain temperature)....mbongo hapo lazima  chachandu na makombwezo yote ujazie ili upate ladha....bila kusahau pilipili manga....hahahahahaha

Comment by Gratious Kimberly on November 23, 2012 at 0:54

Haaa....Manka acha kukurupuka....hiyo sahani ya pili yangu....karibu Mae...ila sio perege..theeeee!

Comment by manka on November 21, 2012 at 14:27

mbona Gratious sioni ukila au ni geresha tu.

Comment by manka on November 21, 2012 at 14:26

embu nileteeni na mimi sitaki kuongezeka uzito lakini mweee unaongezeka tu, japo napiga tizi balaa.

Comment by Mama Malaika on November 21, 2012 at 13:21

safi sana.. Gratious hapo ni mwake kwani konokono wana provide essential food nutrients ya kutosha na pia ni wazuri kwa watu wasiotaka kuongezeka uzito mwilini.

Comment by Dixon Kaishozi on November 21, 2012 at 8:51

Dah!! na limao pembeni kwa msisitizo!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*