Add a Comment
christer wanyuma ha ha ha ha ha ha haaaaaa
hehe mtoto aliyekaa mashalha kweli kweli halafu anaoneka ana maringo balaa!! hivi ndo ANGELA au christer?
huyo mwenye kioo mie ananiacha hoi kweli
Nmevipenda vichuchu vya aliye kaa, sijui ni nani?
Teheheee.. Naona Kibelaaa umerudi kujitetea.. Na olewako kama ulipita mitaa hii kimya kimya....
Haaahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa @ Angela Waluguru ni wafupi hawawezi kunificha!!!!!!!!!!!!!!
Duuuu....Afadhali umejitokeza! Christer amepata vya kutosha. Una bahati ulifichwa na kaka. Eti leo Angela unafunga kanga, juzi tu ulitembea kifua wazi. Tumetoka mbali sana!
HA HA HA HA HASHIM LOL MPAMBEE
DIXSON A.K.A KIBELAAAAA WANITAFUTA BALAAA NA WALE SAMAKI NILIOKUJA NAO KUTOKA KULE KIEMBE SAMAKI SIKUPI, @ WANITANIA BOXA YANGU YA NJANO WAKATI YAKO IMECHANIKA WAKATI UNAPIGA MBIZI MIYE SIKUSEMAAA SASA NGOJA IWEKE ILE PICHA NDO UTAISOMA NUMBER
CHRISTER UMECHINA DADA MIMI NIFICHWE AU WEWE MANAKE HUYO MLUGURU ALIVO NA WIVU HATA HUMU UNAINGIA BASI TUU KWA VILE KUNA NYUMBA NDOGO HA HA HA
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge