Tulonge

Kumbe Christer na Angela walianza kujiremba toka enzi za utoto wao

Views: 377

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on February 4, 2013 at 16:22

@ MARRY AND GEORGIA HUWEZI AMINI HATA PODA SIJUI INAPAKWAJE NA KIOO CHENYEWE HATA KUJIANGALIA KAMA HIVO KWANGU NI KAZI KWELIKWELI NIKISHAJICHEKI NA SIGHTMIRROR ZANGU ZA GARI INATOSHA HUYO MAMA KIGUU NA NJIA, NYIE MWACHENI HUYU DISMAS ANANITAKA UBAYA NA KWELI SIKU NIKIMTIA MACHONI ATAELEZA KWA HERUFI KUBWA LAZIMA HAJA MOJAWAPO IMTOKE HE HE HE

Comment by ANGELA JULIUS on February 4, 2013 at 16:19

DAH KWELI NIMEAMINI DISMAS AKILI ZAKO ZIMEKALIA KWAPANI, NA ILE HALI ULIYONIELEZA SIKUZ ILE NILIZANIA NI UWONGO KUMBE KWELI AISEE, HUFANYI KAZI BILA KUSHTUA, SINA CHA KUCOMMENT KWANI NIMECHOKA SANA NA HILI JIWE LA UTOSI YANI LINGENIPATA KWENYE MEDULA HATA HII COMMENT ISINGEKWEPO HAPA. SIKU NIKIKUTIA MACHONI HABARI YAKO UTAENDA KUSIMULIA KWA MAMA DOREEN NA SAFARI HII NAKUWEKA BEGANI NAENDA KUKUTUPA BAHARINI.

@ MAMA MALAIKA KAMA ULIKWEPO VILE NILIKUWA KULEEEEEEE HATA NETWORK HAMNA NA HII HABARI YA DOGO DISMAS WEE MWACHE ATAKUPA GAZETI. TATIZO LA DISMAS HAFANYI KAZI VIZURI HADI AZIBULIWE SASA NGOJA NIKIMKAMATA NITAMZIBUA HADI NIHAKIKISHE AMECHEUA SAMAKI WOTE WA FERRY ANAOKULAGA KABLA YA KIVUKO NA BAADA YA KIVUKO.

Comment by Mama Malaika on February 4, 2013 at 11:53

Angela akiibuka hapa kwa hakika Dismas ujanja wake wote atanywea. Mie nasubiria arudi toka Babati alikoenda piga kambi. Ha haa haa haaa....

Comment by Hashim Said on February 4, 2013 at 11:49

Ni kweli @Christer, ila siku Angel akiibuka nakuomba upumzike umwachie kipindi cha maswali na majibu!

Comment by Mama Malaika on February 4, 2013 at 11:47

Dismas wewe... muone mashavu yake. Kisa cha kuwaanika wenzio hadharani na waume zao kuona?

Ila sio masihara, hawa watoto wanapenda sana urembo, hadi wamevaa bangili na vya shingoni

Comment by Christer on February 4, 2013 at 11:33

Hahahahahahahahahhaahaaaaa @ Hashim, hapa ndani mimi na Angel ndo mastaa ndomaana hatuishi kuandikwa andikwa, sasa tatizo Angel kafichwa na shemeji ndo maana hasikiki.

Comment by Hashim Said on February 4, 2013 at 11:10

Christer, umesakamwa hadi nakuonea huruma! Mbona Angel amekuacha peke yako lakini?

Comment by Christer on February 4, 2013 at 11:01

Hahahahahahahhahaahahhaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa @ Dixon

Comment by Wa Kimberly on February 2, 2013 at 21:51

ha ha haaaaaaaaaaaaa,wadada kumbe mambo ya urembo hamjaanza leooo.ha haaa

Comment by Georgia Mushashu on February 1, 2013 at 10:55

Hahahahaha walipendeza sana jamani warembo.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*