Tulonge

Kumbe Christer na Angela walianza kujiremba toka enzi za utoto wao

Views: 377

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Hashim Said on January 30, 2013 at 11:58

Hahaaa...Christer!
Wewe ndo umekaa au umesimama? Raha sana wadada!

Comment by Christer on January 30, 2013 at 11:51

Teheteetehteee ila Angela na hicho kioo. sijui alikua anaangalia nn ss hapo usonii maana hakuna make up yoyote aliyopaka. tulivaa na cheni kbs, hatutaki masihala.

Comment by Christer on January 30, 2013 at 11:48

Akiya nani Dogo nikikukamata, UTAJUTA KUNIFAHAMU. Na ngoja Alfan afike hapa, yaani utadundwa mpk uhame mji, urudi kijijini kwenu. hv kweli unaweza kutuanika hadharani hivi wkt wenzio tumeshakua wadada? tena wake za watu, una utani na waume zetu eeeeeeeeeh? SUBIRI NIMUITE

Comment by Hashim Said on January 30, 2013 at 11:36

Kweli tumetoka mbali, Angela & Christer! Hongereni sana wadada.

Comment by Omary on January 30, 2013 at 3:11

Hahahahahah Dis huo utani we ngoja wakuibukie uone watakavyokuachia kisago umesahau Angela alivyokuburuza kwa kamba sasa ile pata gazet ngoja akimaliza kusuka uone.

Angela me simo ni Mr tulonge huyo ndio kawaletea makuzi hala wote mumevaa chain hahahahah nilikuwa sijaona.

Comment by David Edson Mayanga on January 30, 2013 at 1:41

do hapo powa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*