Tulonge

Views: 185

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 14:38

Hapo nilidhani Chidi Benz!!

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2011 at 23:38

thanx Mary

@Olivia...Mmhhuuumwaaaaaaaaaaa !

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2011 at 22:37

Thanx all...hapa nilikua mji mmoja unaitwa Numberg..tulimtembelea rafiki na ilikua summer.....hizo rangi na hapo mkononi tunaita alama za ubishi..maana mzungu akikuona hivyo anakuheshimu...si kushindana kuvaa suti na Billy gates....teh

Comment by Wa Kimberly on December 16, 2011 at 22:12

nimeipendaa hii.

Comment by Mama Malaika on December 16, 2011 at 21:27

hata kama mwanao anaumwa sikio linavuja usaha, kule kwetu mabibi wanaponda na kumuwekea mtoto sikioni. Huwezi amini inatibu haraka sana kuzidi dawa ya hospital.

Comment by manka on December 16, 2011 at 21:09

kweli unaona mbali dada, huku tunajua ni daw ya kuondo stress tu, kumbe inamatumizi mengine mazuri zaidi?

Comment by Mama Malaika on December 16, 2011 at 21:07

Comment by Mama Malaika on December 16, 2011 at 21:04

Ha haa haa.. macho yangu yako kama kurunzi.

Olivia jani hilo ni dawa nzuri sana ya magonjwa kwani mababu zetu wamelitumia kama dawa ya magonjwa mbalimbali na pia hata leo baadhi ya companies wanatumia kutengenezea lotion. Mie ninayo handcream imetengenezwa na jani. 

Na nchi zetu masikini zikiamua kulitumia jani vizuri na kutengenezea dawa basi nakwambia hizi large pharmaceutical companies za ulaya watafilisika vibaya sana 

Comment by manka on December 16, 2011 at 20:56

wewe mama Malaika unaona mengi wewe!!!! hahahahaaaaa,..,. labda anamuenzi mkulima mkuu wa jani hilo.mzee wa No women no cry!!!!

Comment by Mama Malaika on December 16, 2011 at 20:48

leo ndio nimeona uzuri picha yako. Naona jani hapo mkononi pekundu. Ha haa haaa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*