Tulonge

Dili si Dili mpaka Dili ikubalike!! Kimeeleweka sasa!!

Views: 131

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 17:43

Mhh.Hii sisi tunaiita MICHUZI ,wenzetu kule kenye michuzi kama hii wanaiita:MAPEN.

Comment by Gratious Kimberly on July 26, 2011 at 20:35

Hicho ndo nichoipendea bongo..tz...Pesa unaziona hizo...lakini huku..nadani nimejaza marisiti na kadi tu . sijui mashine zao zikibuma itakuaje hapo

 

Comment by Wa Kimberly on July 22, 2011 at 16:47
eti mahela yoote hayo,alafu yule MZEE[chenge] anasema eti VIJISENTI.Haiingi akilini kabisa.
Comment by Dixon Kaishozi on July 22, 2011 at 15:02
hahahaa.. hapo mama ukianza kuziesabu kwa pounds, USD au Euro nitaumbuka.. acha hivyo hivyo zionekane nyingi... Mtemi na wengine nawakaribisha.. nimekumbuka nitumie salio kwenye simu ilinimpigie Alfani alafu wanakijiji mtamuona kupata chenu... lol
Comment by Mtemi on July 21, 2011 at 21:47
naomba mwayaaaaaaaaaaa
Comment by Dunda on July 19, 2011 at 16:14

WABUNGE WAKIZIONA HIZI 

SIJUI KAMA WATAZIACHA  ZILE POSHO

Comment by Mama Malaika on July 19, 2011 at 13:43
Hivi hizi zote ni sawa na Sterling Pounds ngapi vile?
Comment by Dixon Kaishozi on July 19, 2011 at 9:04
Usijali.. kizuri kula na mwenzio.. Karibu mkuu
Comment by Alfan Mlali on July 18, 2011 at 18:37
Duh, mkuu nije tupige pasu kwa pasu???!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*