Tulonge

Views: 127

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on December 7, 2012 at 12:00

Ha ha ha ha ha ha ha! Nataka kuwa dealer wa hiki kinywaji hapa Afrika Mashariki. nafanya mawasiliano na familia ya Bob Marley kuhusiana na hii kitu. Nitawajulisha...ha ha ha ha ha! Natania jamani msije kunitafuta kutaka kinywaji cha Bob Marley.

Ila nimependa sana hii, yaani jina la Bob Marley ukilitumia vizuri waweza kuwa milionea.

Comment by Mama Malaika on December 5, 2012 at 12:11

ha haa haa haa haa haa haa haaa @ Dismas

Comment by Dixon Kaishozi on December 5, 2012 at 10:21

Sibure hapa!! ukigonga chupa moja unaanza kurukaruka ki-rasta!! hahahahahaa

Comment by Tulonge on December 2, 2012 at 2:07

Mama wewe onja tu, utashangaa unaanza kumpa shikamoo Denzil.Full kuchanganyikiwa.

Comment by Mama Malaika on November 29, 2012 at 21:59

Dismas... itabidi mie nionje moja kuhakikisha. Teh teh teh...

Comment by Mama Malaika on November 29, 2012 at 21:56

CHA.... Hii ni biashara yako?

Comment by Tulonge on November 29, 2012 at 20:59

Hizi juice lazima zitakua zimechanganywa na yale majani teh teh teh

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*