Tulonge

Sidhani kama walijijua watakuwa mastaa

Views: 192

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by saleh mkali baya on May 26, 2011 at 19:54
siamin kama walikua wanajua kuwa watakuja kua mastaa
Comment by KUNAMBI Jr on May 26, 2011 at 18:48
aaah yaani hiyo hata nyau humdanganyi kabisa
Comment by Agnes Nyakunga on May 26, 2011 at 15:54
kaka Kanambi mimi cjawahi kuwa mtoto nimezaliwa mkubwa hivi hivi
Comment by KUNAMBI Jr on May 26, 2011 at 15:29
me ntaanza hakuna shida kabisa halafu ww utakua wa pili dada Agnes
Comment by Agnes Nyakunga on May 26, 2011 at 14:00
inabidi uanze kuweka picha ya kwako kaka Kunambi
Comment by KUNAMBI Jr on May 26, 2011 at 11:39
kama ma men 50 hapo kachokaaaaa yaani sijui mama yake alikua anauza nyanya kama maza wangu mie duuh?kweli maisha safari ndefu,sasa me natoa wazo hapa "KILA MWANA TULONGE AWEKE PICHA YAKE YA UTOTO TUONE NANI ALIKUA SHAROBALO" mnaonaje?
Comment by Bonielly on May 19, 2011 at 12:59

hapa ukiangalia zaidi utaona kwamba maisha waliopitia tangu utoto wao si ya kifahari kama hivi sasa mwenye maisha yanayoonekana bora kidogo ya wazazi wao lbd kid cudi na t . i .,, lkn hawa waliobakia kama watoto wale wa mitaa ya manzese kwa mfuga mbwa,,

 

 

Comment by Julius Mwanakijiji on May 19, 2011 at 10:20
Shida ya sisi wabongo tunakata tamaa mapema.
Maisha ni kupambana mpaka kieleweke kuna njia mia na moja ila tunang'ang'ania njia moja tu! Tubadilike tujaribu na nyingine pia tutafanikiwa tu.
Comment by Lucie on May 19, 2011 at 9:19
Hahahahaaaa safi hii, tuletee na ya mastaa wakike
Comment by Tulonge on May 19, 2011 at 8:55
Naona kuna Staa mmoja amesahaulika kwenye hiyo space hapo mwisho,nitamuweka muda si mrefu teh teh teh..

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*