Tulonge

Mbona amemshika hapo? nadhani alikua anamuombea jini mahaba limtoke

Views: 244

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dunda on November 20, 2013 at 18:58

HAPO PALIPO SHIKWA NDIKO KUNAKO MLETEA ULAKINI 

NIMEPENDA JINSI MUOMBEAJI ANAVYOOMBEA

Comment by Dixon Kaishozi on November 19, 2013 at 8:53

Hahahahahaaa.. Severin "Pembe 3" hahahaaaaa

Comment by Bonielly on November 14, 2013 at 13:18

kumuombea gani huko mpaka amshike gens yake kwa juu?

Comment by Severin on November 11, 2013 at 23:46

Hehhehee niliiona nikaamua kuuchuna, nilimuonea wivu sana huyo mama aliyeshika hapo kwenye hiyo pembe tatu.

Comment by ANGELA JULIUS on November 9, 2013 at 9:14

kweli kabisa mama malaika ngoja apite huyu chizi wangu

Comment by Mama Malaika on November 8, 2013 at 16:51
Severin hajapita hapa na kuiona hii picha. Lol....
Comment by ANGELA JULIUS on November 8, 2013 at 7:47

HII NI KANISANI NINI NAHISI KAMA AMEDONDOKA NA PEPO SASA ANAMWOMBEA NA HUENDA AKAGUNDUA LABDA ZIPU ILIKUWA WAZI KUFURI LILE LAONEKANA.

HA HA HA WEWE DIANA WEWE CHIZI KWELI

¬© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*