Tulonge

Views: 129

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on November 15, 2013 at 20:06
Cha... Mie nakuja na 'chimpumu'. Teh teh teh....
Comment by CHA the Optimist on January 10, 2012 at 21:29

Hii ni Mtwara, siku tatu kabla ya Christmas. Usafiri ulikuwa wa shida sana, niliuziwa ticket kwa elfu 25 badala ya elf 18, na bado nikakosa gari--wanasema ilikuwa na matatizo. Ila siku moja kabla ya christmas, nikapata mtu aliyeahilisha safari yake, ndo nikaweza kusafiri.

Comment by Gratious Kimberly on January 8, 2012 at 0:08

Cheeeeeers.......Naona umelaza mzaramo hapo chemba alafu unatuzuga na bitter lemon , sijui sprite....hhaaaaaa,  alafu hilo zinga moja hapo kushoto kwako naona wazee mmeshalifuta..duh inaelekea hapo palikua hapatoshi mwaka mpya!!

Comment by Tulonge on January 7, 2012 at 23:59

wapi hii?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*