Tulonge

Mi na dogo siku ya mahali yake. Na tenge langu

Views: 151

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Holiness Bangereza on April 22, 2012 at 14:19
C kimila ze2 fain ni hela, hapo nilikula hela. Wachaga ndo Mbuz ya hata mdogo m2 akiolewa akamwacha dada m2 must ampe dadake Mbuz
Comment by Mama Malaika on April 19, 2012 at 14:39

Ha haa haa haa..... shemeji alipigwa fine ya mbuzi nini? Naona wazee pembeni wako makini

Comment by Holiness Bangereza on April 15, 2012 at 20:56
Bwana we, kimila ze2 bint akiwa anatolewa mahali, analetwa yeye na m2 wakumsimamia, mmefunikwa, afu chini lazima muwe sale. Kwahyo hapo nilikua namsimamia huyo dogo hapo mwenye nyeupe juu chin 2kapigwa matenge afu 2kafunikwa, shemeji akakosea akanchagua mim bana, wacha apigwe fine! Hapo ndo 2likua 2natoka.
Comment by Tulonge on April 15, 2012 at 17:15

Wewe uko wapi hapo? Matenge yamewanogesha sana.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*