Tulonge

Hongereni sana chadema kwa ushindi mnono mlioupata huko Arumeru "tupo pamoja.

Views: 147

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Malisa KILI on April 8, 2012 at 21:33

Jamani hizi khaki zinanikumbusha ukoloni . Chama kizuri tu lakini nadhani wangebuni vazi jingine.

Hizo ni fikra zangu

Comment by eddie on April 7, 2012 at 10:41

Kama hawa ni watu wa watu kama kichwa cha habari basi wasinge kaa vitini hapo na hilo tent wasingeliweka ili wawe sare na waliowazunguuka.

VINGINEVYO, nawapa hongera kwa kuwapa pressure CCM. Maana wamejisahau mno wanafikiri kwamba Tanzania ni yao peke yao!

Comment by Tulonge on April 4, 2012 at 13:25

Sana tu

Comment by Dixon Kaishozi on April 4, 2012 at 11:27

Naungana na wewe @ Mama Malaika.

Comment by Mama Malaika on April 4, 2012 at 1:39

Hongeza zao, aliyeshinda hapo Arumeru ndio yupi kwenye picha? Hawa Chadema wakijipanga na kupata support ya chama kingine cha upinzani na kutoa mgombea mmoja 2015 kama walivyofanya wenzao wa huko Senegal (round ya pili ya uchaguzi) basi Tanzania itakuwa nyingine, na system nzima itabadirika.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*