Tulonge

Kuna kupona hapo kweli? Au hamna wasiwasi kwa kuwa mzee wa Loliondo yupo?

Views: 209

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by didas f.lulu on May 8, 2012 at 12:56

Du hili sasa ni balaaaa...ila dah huyu babu wa samunge loliondo bado yupo kweli?

Comment by ANGELA JULIUS on July 21, 2011 at 15:47
HATARI HII LOL
Comment by Gray on June 25, 2011 at 9:24

Sasa inamaana ndio kusema...ah......mbona naona maneno yanagoma kutoka..ah.....yaani nasema hv....mh...kwamba hawa wadada...ah....

Ama kweli ndoa zetu zipo hatarini kwa hali hii!!??

Comment by Mwalimu Peter on June 25, 2011 at 2:39
si wanacheza mduara au?
Comment by Dunda on June 22, 2011 at 20:23
Hapooo sio mmmhh
Comment by Alfan Mlali on June 2, 2011 at 15:50
Yalaaaaah...OMG....This is noma mazeeeee!!!
Comment by ABD on March 14, 2011 at 16:13
nyama kwa nyama duhh sitaki kusema mengi nisije kuonekana sina adabu bule mbele ya wadau bola yote nimuachie mungu yeyendie anaejua machungu gani niliy hapa si kama natamaa bali ni haki yangu kutamani sana
Comment by mohamed selemani kilumba on March 13, 2011 at 22:14
kupona kupo sitaenda logido tukanywe dawa ya babu
Comment by Geophrey Mchunguzi. on March 11, 2011 at 17:28
Dada diana hapa patachimbika tu, siwezi kubari kama niko.
Comment by Kalolo J. on March 11, 2011 at 12:52
Pamoja na Mzee wa Loliondo kuwepo, kunahitajika ugali wa kutosha. na ukata huu ugali huo unapatikana? kwa hali hii, hata mchina itabidi afanye kazi!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*