Tulonge

Views: 189

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Agnes Nyakunga on May 31, 2011 at 10:45
da Mary ahsante
Comment by Wa Kimberly on May 27, 2011 at 13:40
mdada umetoka bombaa.
Comment by Agnes Nyakunga on May 27, 2011 at 10:43
ha ha ha sawa kaka Jacob!
Comment by Jacob Kitalika on May 27, 2011 at 8:47
Mimi thithemi lakini ukweli unabaki palepale, Agnes umelilax vizuri. Wewe unasemaje?
Comment by Agnes Nyakunga on May 26, 2011 at 14:18
kaka Jacob acha hizo
Comment by Jacob Kitalika on May 26, 2011 at 14:09
Imekaa vizuri, jinsi ulivyolegeza mwili!!!!!!!
Comment by KUNAMBI Jr on March 30, 2011 at 12:26
me nimetulia sana ww tu hujui teh,am kidding bana
Comment by Agnes Nyakunga on March 4, 2011 at 14:29
Ahsante kaka Kunambi wewe huja2lia!
Comment by KUNAMBI Jr on March 4, 2011 at 12:06
me nlikua sijawahi kukuona ukisimama kumbe una figure ya kibantu namba 8, mashaallah Dis hvi inaruhusiwa kutangaza uchumba humu?????nipe permit nshanganyikiwa mie jamani lloh
Comment by Agnes Nyakunga on March 4, 2011 at 8:25

Ahsanteni wadau wangu @ Tulonge, mama Malaika, Belita bila kumsahau kaka Severin, Tulonge mie nakula tu vyakula vya kawaida kuhusu ngozi yangu napaka mafuta ya kawaida tena cku ambayo nakuwa siendi kazini hata mafuta sipaki kabisa. Ngosi yangu ni ya asili

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*