Tulonge

Nani Kamfunika mwenzie kwa kucheza kwaito???

Views: 232

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Omary on March 16, 2013 at 5:14

Hahahhahahah kudadadeko akitokea mchuchu hapo lazima atoke nduki maana ataona hawa wendawazimu hawataniacha  hahahah hapo safari bwawani kuogelea hahahah unakuta maji machafuuuu halafu tunapiga mbizi hahahah.

Comment by KUNAMBI Jr on March 13, 2013 at 14:30

Mikoko ndo wapi kaka Chaoga?we nawe inaelekea tanzania umemaliza yote

Comment by Dixon Kaishozi on March 4, 2013 at 17:32

Hahahaaaa... Ngoja akusikie mwenyewe @ Bonielly

Comment by Bonielly on March 4, 2013 at 16:37

mbona kama mbio za vijiti? ommy miguu yake imeandika m,

Comment by chaoga on February 28, 2013 at 11:19

HA HA HA NAKUMBUKA HII ILIKUWA NJIA YA KUELEKEA KIJIJI CHA MIKOKO....

Comment by HAMIDU URASSA on February 22, 2013 at 15:31

hahahahahaaaaaaaa......we dis hiyo kwaito ya wp jamani mnacheza uchi???

Comment by Mama Malaika on February 15, 2013 at 15:19

Jamani jamani.... nyie mna vituko

Comment by Dixon Kaishozi on February 15, 2013 at 11:04

Hahahahaaaa... Omary noma!!! nikumbukavyo hii ilikuwa ni Makirikiri dance!!! Hahahaa

Comment by KUNAMBI Jr on February 12, 2013 at 17:30

haha haha hha we Dis una macho duuh

Comment by Tulonge on February 12, 2013 at 17:15

Omary lazima ashinde,naona anatumia kahirizi kananing'inia ktkt ya miguu.

¬© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*