Tulonge

Views: 127

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 16, 2011 at 0:53

Wewe humjui Chaoga nini? Ha haa ahaa aahaaaa

Comment by Gratious Kimberly on March 16, 2011 at 0:47
weeee mama malaika sasa unavunja mbavu zangu....Eti nje ya lango la supermarket.....yalaaaaaaaaaaaaa....wako wengi nawaona na stahili hiyoo...hahahahahaha
Comment by Mama Malaika on March 16, 2011 at 0:42
mmh... Chaoga akija huko kuna hatari akalala nje ya lango la supermarket.
Comment by Gratious Kimberly on March 15, 2011 at 23:06
Diana nakunywa Mvinyo mwekundu, mama malaika Nygi huku hakuna kuna ngumu kumeza nyingine kama Gin nk. mwenyewe unajua mimi napenda mvinyo  maana hauna Hangover na Whisky mara moja moja.  Tulonge tehtehteh...Nakandamiza kweli hapa siku hii..Chaoga akija huku basi atasema maana pombe huku za bure....si unamjua mjeru tena!  Asije akasahau bongo kama jamaa yangu mmoja...hahahahaha
Comment by Tulonge on March 15, 2011 at 22:56
Kamua kamua kaka,ukishindwa muite Chaoga akusaidie hahahhaaa
Comment by Diana on March 15, 2011 at 21:00
NIni hiyo unakunywa?
Comment by Mama Malaika on March 15, 2011 at 15:15
Haya niambie hiyo ni nyagi au? Naona Chaoga akipita hapa atafurahi na kupata mpinzani. LOL... 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*