Tulonge

napenda kuchukuwa fursa hii kuwashukuru ndugu zangu wote waliyojitolea kunisaidia kwa hali na mali na mola atawabariki na kuwajalia maisha mazuri katika maisha yenu hii ndiyo nyumba yangu na ujenzi waendelea mola akipenda itaisha

Views: 155

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on October 19, 2012 at 10:47

Hongera mkuu kwa hatua hiyo.

Comment by Dunda on October 18, 2012 at 18:01

Inshallah ujenzi utakwisha bila tabu,,,

Hongera sana na nakupongeza kwa uvumilivu na subra

Mwenyezi mungu akuajlie kial la kheri

Comment by Mama Malaika on October 17, 2012 at 19:43

Kusaidiana wakati wa shida ni jukumu letu wote. Nimefurahi kuona ukarabati ulipofikia. Mola akubariki wewe na family yako pia hasa kipindi hiki kigumu.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*