Tulonge

PAMOJA NA MWALIMU WANGU WA CHEKECHEA....HUYU NDIYE AMENIFANYA NIJUE KUSOMA NA KUANDIKA. ANAITWA SISTA PIERINA. SASA ANA MIAKA 84, LAKINI BADO ANANIKUMBUKA SANA TU. KWANGU NI FURAHA SANA.

Views: 163

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on October 7, 2013 at 20:14

Alifurahi sana tuu. mama malaika.

Comment by Lilian on October 6, 2013 at 23:47

Hahahahha chibiriti tunasubiri jibu la Moreen

Comment by Omary on October 2, 2013 at 9:26
Hahahahah sasa Moreen swali gani? hilo unalimuuliza Bro Chibiriti? unataka amuulize au? Isee maswali mengine mitihani kweli haya ngoja tuone kama utapata jibu.
Comment by Mama Malaika on October 1, 2013 at 8:34
Naona alifurahi sana kukuona mwanafunzi wake @ Chibiriti. Mbarikiwe
Comment by Moreen on September 29, 2013 at 21:16

Hongera bibi. Kaka Chibiriti inamaana huyu bb hajawahi ku-do toka utoto wake? Si ndiyo huwa nasikia hiyo ni sifa moja wapo ya masista

Comment by Tulonge on September 29, 2013 at 21:10

Duh! mpe hongera nyingi kwa kuishi miongo 8 na zaidi. Kizazi cha sasa kufikisha miaka hiyo ni bahati.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*