Tulonge

Vitu vingine kama si mzoefu waachie wenyewe!!!

Views: 226

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on February 12, 2013 at 9:36

Omary huamini kama napiga lager?? kama vipi andaa ligi na chaoga uone ntakavyomgalagaza...tehetehetehetehetehet

Comment by Alfan Mlali on February 12, 2013 at 9:35

Hahahahahahaha..Kumbe bia huwa chungu hivi?? Muulize Lucie nilimtemea yote iliyokuwa mdomoni...

Comment by Omary on February 11, 2013 at 20:40

hahahahah mama malaika unanivynja mbavu eti alfan akinywa bia wewe unakunywa wanzuki lol

Comment by Omary on February 11, 2013 at 20:37

mmh! huu mchanga wa macho mbona hii soda ya Dixon ina rangi ya mende? hapa inaoneka Alfan umetuzunguuka maana chupa na glass zimepoteza mpangilio hatujui nani anakunywa bia nani anakunywa soda au mnachanganya?.

Comment by Jeath Justin Prosper on February 11, 2013 at 17:33

Hey...hiyo itakuwa imezidishishwa vitu kadhaa.....halafu kwa mabali ni kama anatangaza ule mlima...wa huko kwa akina Manka............hayo maji yana rangi nzuri usipime....rangi ya dhahabu...sema kuna kaongezo ka aina yake.....

Comment by Tulonge on February 11, 2013 at 16:54

Haahhahhaahhahaaa jamaaa alionja? Alidhani chai? Muone alivyo kunja sura, na hakuna kutema

Comment by Dixon Kaishozi on February 11, 2013 at 16:25

Hahahaa.. Tayari alisha ananza kuona maluweluwe.. @ Mary.. lol

Comment by Wa Kimberly on February 11, 2013 at 15:36

safiiii wadau.ha haaa alfani ngumu kumeza nini mbona kama unasikilizia vile.

Comment by Mama Malaika on February 11, 2013 at 15:17

Mmependeza.. Alfan siku akinywa beer basi mie nitakunywa wanzuki na komoni. Teh teh teh....

Comment by Dixon Kaishozi on February 11, 2013 at 13:38
Utaziea tu ndg yangu... hahahaa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*