Tulonge

Views: 181

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on June 21, 2012 at 17:28

Kwani wewe hujawahi piga picha kanisani?....Teh

Comment by manka on June 21, 2012 at 15:57

hivi wewe ulikuwa unasali au unamwangalia mpiga picha???

Comment by manka on June 21, 2012 at 15:57

tehe theeeee!! maji ya baraka yanachakachuliwa!!!!

Comment by Bonielly on June 21, 2012 at 7:05

mama maji ya baraka watu wanachakachua hali mbaya,

Comment by Mama Malaika on June 21, 2012 at 1:50

Ha haa haa haa..... Bonielly usituchekeshe, ina maana wabongo wanachakachua hadi maji ya baraka?

Comment by Gratious Kimberly on June 15, 2012 at 13:25

haaaaaaaaaaaaaa

Comment by Bonielly on June 15, 2012 at 12:06

ha ha ha ha haaa lkn kweli, baada ya kuondoa kumbe nio unaiongezea kitakachufua hata ukipanda mchicha unavuna magimbi, ukimsalimia mtu anakwambia umenitukana,

Comment by Gratious Kimberly on June 15, 2012 at 11:55

Ombi limefika Jembe..ila subiri siku mbili 3 nione kama nuksi zangu zitaisha...nisije kuletea kimavi bure...hahahahaha

Comment by Bonielly on June 15, 2012 at 11:53

ha ha ha haaaaa si unajua maji ya baraka ya huko hayajachakachuliwa jembe, niwekee hata kwenye kikopo cha reys namimi niondoe nuksi,

Comment by Gratious Kimberly on June 15, 2012 at 11:29

Hapa ni Jimbo la Touscana mji wa Arrezzo ( IT) kuna kanisa moja la miaka sijui mia ngapi!! Nadani ya kanisa hilo kuna papa mmoja alizikwa hapo kale basi tunaenda kushangaa kaburi na kujipaka maji ya baraka  labda kitaeleweka maishani...hahahahaha

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*