Tulonge

USO KWA USO NA JUMA KASEJA WA SIMBA....MJENGONI - DODOMA.

Views: 167

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on September 16, 2011 at 9:54
Sasa na hizo yebo yebo mjengoni ???????? watu wetu kubadirika ni kazi kweli kweli...
Comment by Tulonge on September 13, 2011 at 20:42
Bomba sana mkuu
Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on September 13, 2011 at 20:20
KABISA TANZANIA ONE!
Comment by Severin on September 13, 2011 at 19:29
Naona  upo na Tanzania 1
Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on September 13, 2011 at 13:09
Kweli kabisa dada Joan, maana makipa wanatakiwa wawe warefu, ila huyu wakwetu ndo hivyo tena. Ngoja nikimwona tena niamazima urefu wangu....ha ha haaa!!!!!!
Comment by Joan on September 13, 2011 at 13:03
Kaka Baraka itabidi umuazime huo urefu wako huyo kipa wetu wa Taifa.Huo urefu wake hauridhishi.
Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on September 13, 2011 at 12:59
Utawaweza wachezaji hawa? Tena ndani kabisa ya Mjengo. Ukuwa raia wa kawaida hata ufanyeje huruhusiwi kuingia hivyo, bahati yake ni mchezaji tu!
Comment by Alfan Mlali on September 13, 2011 at 5:52
baab kubwa.. ila jamaa kaend mjengoni na hayo malapa yake??!!!!!1

¬© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*