Add a Comment
Asante mama malaika,
ilikuwa furaha sana kumeet LIVE na ndugu hawa.
shukrani ziende kwa tulonge kwa kutuunganisha,kama sii hivyo wala tusingejuana.
Pamoja We Can!!!
Alfan ujanja wote kapuni. LOL......
mmependeza sana
Alfan hapo uko sijui nimwambie?! dah atanitosa huyu kisha nitaabika au ngoja nitamwambia kesho
bt mbona mnafanana au nyie binam? nn. safi sana 2napaswa kuwa hivyo hiyo ndio maana halisi ya tulonge.
hahahahaahahahaha! Mmejuaje???
yaani hapo nilikuwa natafuta sentensi ya kuanzia nikaikosa...tehetehetehetehete!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge