Add a Comment
Kaka safi sana kwa kutuwekea the pic tukuone,picha imetulia zaidi.Nimependa hiyo alama ya Obama karibu na Pua,hiyo kitu anamiliki hata Obama.Watalamu wanasema hiyo alama ni dalili ya kipaji na kwamba mtu mwenye hiyo kitu atakuwa Man Of The People.Tuko Pamoja.
Asante dada lakini
uzee unapiga hodi tayari...jivu limeanza kutoka......nawaambia marafiki kwamba kukaa muda mrefu ughaibuni nimebadilika kuwa blondy african hahaha!!
Tulonge sasa usinilaumu kwamba naficha sura yangu!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge