Tulonge

Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CHADEMA Mh Joseph Mbilinyia.k.a Sugu
ama Mr II akitaniana na waandishi wa habari alipowasili nje ya viwanja vya bunge mjini Dodoma.

Views: 171

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Jorge Novati Rutenge on November 12, 2010 at 17:11
Ni mwanzo mzuri huo. Tusubiri michango yake.
Comment by Alfan Mlali on November 12, 2010 at 13:21
Nadhani hata hiyo tai kafungiwa na mtu< akifanya kosa ikafunguka tu ameumbuka...hahahahahhahaha
wananiiita sugu......
Comment by Emmanuel Kibassa on November 12, 2010 at 10:35
Hata wewe Dis ukiingia Bungeni hauta acha asili yako ndugu
Comment by Tulonge on November 12, 2010 at 10:07
Hahahahhahaaa ona tai yake. Niliyahisi haya yote ndomaana nikaanzisha huu mjadala http://tulonge.ning.com/forum/topics/sipati-picha-mr-2-ndani-ya Ila hakuna noma atabadilika taratibu.
Comment by chaoga on November 12, 2010 at 8:18
ha ah aha ha jamaa hata tai kailegeza kidogo maana hajazoea anaona kama inambana...
Comment by kadir msuya on November 12, 2010 at 7:42
Mbona hajavaa suti? utafikiri anaenda bungeni kuperform.Hapa inaonesha anachana verse a.k.a mistari
mbele ya waandishi wa habari

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*