Tulonge

Tulonge na mdau Silas tukipata bondo(Ugali) eneo fulani hapa DSM

Nikiwa na Mdau Silas toka Dodoma. Hapa tukipata Ugali. Mimi nilikua napambana na ugali wa Dona wakati Silas alikua akomaa na ugali Muhongo.

Hadi mwisho mimi niliibuka mshindi kwa kufanikiwa kumaliza kila kitu kwa dk chache.Silas alitumia saa 2 kumaliza hako kaugali.

Views: 226

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on January 27, 2014 at 19:27

Dismas, nina mpango wa kuanzisha gazeti. Nitahitaji mtu wa IT....mshahara ataanza kupata miezi sita baadaye, na wewe naona utafaa sana kuwa IT wa gazeti langu.

Comment by Tulonge on January 27, 2014 at 18:42

Sawa Editorial manager...

Comment by CHA the Optimist on January 27, 2014 at 18:03

Dismas, sio MUHONGO.....ni muhogo come on!

Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 21:18
Yippie! Bring them on @ Remmy! Ha haaa haaa haaaa

Dismas acha ukuda, unataka kuleta ukamanda wa kisomali? Acha kijana aturushie picha tuone. Teh teh..
Comment by Tulonge on September 23, 2013 at 20:41

-Teh teh teh Remmy ukitupia picha zangu za ajabu nazitoa.Umesahau mimi ndo nimeshika mpini?teh teh teh

-Mama huyo Alfan bora asije hapa, ni kweli atapeperusha ndege

Comment by Remmy Benson Mganga on September 23, 2013 at 18:11
Hahahaaaaa, Mama Malaika kesho nazitupia izo picha humu Tulonge
Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 17:56
Ha haaa ha... Dismas hiyo dona ya Darisalama si original.
Unaona navyokufagilia hadi Christer ataka kukukodi? Ila Alfan nuksi kweli, akija hapa tender ya u-baunsa imeungua. Teh teh teh...
Comment by Tulonge on September 23, 2013 at 17:42

-Hahahhahaha Mama hakuna cha zoezi wala nn. Huo mkono umetuma sababu mkononi nimeshika bonge la donge la ugali wa dona. Jinsi ugali ulivyo mgumu lazima mkono utune wakati wa kufinyanga tonge.

-Christer natamani sana siku ukiniajiri niwe baunsa wako.Yani nakulinda kila kona uendayo, hadi wakati wa kulala mimi nakulinda tu

Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 17:05
Ha haa haa haaaa.... @ Christer!
Comment by Christer on September 23, 2013 at 16:31

Hahahahahahahaaaaa kumbe ananyanyua vyuma mama weeeeeee, nilikua sijajua hili. Asante mke mkubwa kunifumbua macho sasa sina haja ya BAUNSA nitakua namkodi.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*