Tulonge

Tulonge na mdau Silas tukipata bondo(Ugali) eneo fulani hapa DSM

Nikiwa na Mdau Silas toka Dodoma. Hapa tukipata Ugali. Mimi nilikua napambana na ugali wa Dona wakati Silas alikua akomaa na ugali Muhongo.

Hadi mwisho mimi niliibuka mshindi kwa kufanikiwa kumaliza kila kitu kwa dk chache.Silas alitumia saa 2 kumaliza hako kaugali.

Views: 226

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 16:21
Dismas ni bonge la handsome. Halafu toka uanze zoezi huo mkono wazidi kutuna, siku ukikutana na Angela patachimbika.

Remmy Benson Mganga... Ukipachika picha za Dismas hapa Tulonge nitakupa zawadi.
Comment by ANGELA JULIUS on September 23, 2013 at 15:53

dah nimeishia kucheka sijui nianzie wapi kucomment ngoja n ikapate ile kitu ya mwakyembe nikirudi hapa walahi sijui................

Comment by Christer on September 22, 2013 at 20:32

Teheteheteheteheteeeeeeeeeeeeeeeeee kwani uongo?

Comment by Tulonge on September 22, 2013 at 20:30

Dogo Christer naona una hamu ya kuchapwa wewe.Yani kidume nimenawiri km mwali?

Comment by Christer on September 22, 2013 at 20:13

Mmmmmmmmmmmmmmmmmh Dogo umenawiri km mwali

Comment by Tulonge on September 22, 2013 at 12:01

Teh teh teh acha hizo za kuweka picha zangu nyingi kwenye net.Usije ukafanya niumbuke

Comment by Remmy Benson Mganga on September 21, 2013 at 21:42
Hahaaaa....Ushahidi ninao Tulonge, nipo Manchester, j4 nikifika London nitakutumia picha za malangali wanatulonge wakuone, afu naona mzee shavu bolibo ilo unazidi kuchana tu
Comment by Tulonge on September 21, 2013 at 20:20

hahahahahaa acha hizo Remmy. Umesahau nilivyokuwa natandika ule ugali wa Malangali? Wewe c ulikua unaenda kijijini kula wali, au umesahau?

Comment by MGAO SIAMINI,P on September 21, 2013 at 13:30

bondo huwaga ni kubwa

Comment by Remmy Benson Mganga on September 21, 2013 at 13:24
Masiala hayo, ugali wenyewe kama ngumi za watoto afu unajisifia kumaliza, acha izo wewe, zako chips kuku

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*