Tulonge

Hili ni somo lisilopendwa na wengi

Views: 135

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on November 14, 2013 at 10:44
Dismas.. Nikikumbuka enzi za shule kwenye hesabu sikuwa tofauti sana na Kunambi. Ha haa haaa...
Comment by Mama Malaika on November 14, 2013 at 10:35
Ha haa haa haaa... Belita nasikia ulikuwa mkali sana wa hesabu.
Comment by Tulonge on November 4, 2013 at 13:25

Basi Mama M unaonekana ulikua unaijua hesabu toka mwanzo ila walimu wako wa kwanza ndo hawakua na mbinu nzuri za kufundisha. Kuna watu hata wafundishwe na nani hawaelewi hesabu, hasa wale watu wanaopenda kukariri vitu kama Kunambi teh teh teh teh

Comment by Belita on November 4, 2013 at 13:23

Naomba admin uitoe hii picha, inanifanya kichwa kiume nikikumbuka hiyo takataka inayoitwa hesabu

Comment by Mama Malaika on November 4, 2013 at 13:07
Mie hesabu nilichukia sababu walimu wengi hawapendi kurudia rudia mwanafunzi uelewe vizuri. Nilipokuwa chuoni nikakutana nazo za nguvu zimechanganyika na physics kama unavyojua course ya uchoraji (Mapping). Uzuri hawa wenzetu hawafundishi kwa kumkomoa mwanafunzi, wanafundisha kutaka uelewe na ufaulu. Hivyo nikajikuta napenda hesabu, baadae nikakutana nazo tena chuoni kwenye Economics. Hesabu hazikimbiliki. Ha haa haaa....
Comment by Tulonge on November 4, 2013 at 8:53

Hahahhaaa kuna watu walikua wakiona mwalimu wa hesabu anaingia wanatamani watoke nje. Halafu hesabu sijui ikoje, kama hujui hujui tu.Huwezi kulazimisha.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*