Tulonge

Ukiambiwa binadamu tumetokana na nyani usibishe

Views: 167

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on May 10, 2012 at 11:23

@Didas huyu msela anabonge la mchuda, niliwahi kuona familia yao kwenye makala, wako watano na wote wapo hivi. wameridhi kutoka kwa babu yao.

Comment by didas f.lulu on May 8, 2012 at 13:14

Dah Diana vp huyu msela?da anatisha sasa embufikiria ndiyo msela wako utahama gheto nini??????

Comment by Mama Malaika on May 19, 2011 at 21:55
Huyu ameota nywele mwili mzima, kuna watu wachache sana wana upungufu (disorder) kwenye mwili wao inayofanya kuota nywele mwili mzima. Hata UK wapo ila ni wachache sana sana na mara nyingi hapa wanatibiwa na kupewa cream zinazopunguza nywele
Comment by Dixon Kaishozi on May 17, 2011 at 10:20
Mmmh...
Comment by Alfan Mlali on May 17, 2011 at 8:15
Hahahahhahhahahahaha.Huyu sio yule aliyeota manyoya pale salender Bridge kipindi kile???????
Comment by Severin on May 17, 2011 at 7:56
Huyu ni Sokwe au binadamu? Nimechanganyikiwa kabisa.
Comment by Belita on May 17, 2011 at 3:42
Mama yangu,hv ukikutana naye utafanyaje?
Comment by Hussam ADnaBoY on May 17, 2011 at 2:38
Kama kweli inahuzunisha , Haiwezekani binaadam atokane na nYani mungu kamuumba adam mwanzo sio nYani kwahio hizo hadithi za Uongo wazungu wapotofu.. <3
Comment by Tulonge on May 15, 2011 at 20:31
hahahahaaaa eti kavaa sweta
Comment by Hamed alhashmi on May 15, 2011 at 13:50
huyu navyodhani kavaa sweta

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*