Tulonge

Unajua kuwa Zimbabwe mayai ya kuku matatu ni sh billion 100?

Views: 151

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on June 2, 2011 at 15:49

Mishahara yao midogo sana hawa watu na ndio maana sasa wanakimbilia hata Tanzania ambako zamani walikuwa hawakutaki. Hapo nikienda na £2,000 kutembea Zimbabwe nikiwa Bureau de Change mjini Harare inabidi nikodi na lori kubeba pesa hata kabla sijabadirisha. Ha haa haa haaa

Comment by KUNAMBI Jr on May 26, 2011 at 11:50
mungu wangu hpa hiyo hela unamnunua hata Diana au Belita na chenji nyng inabaki,yaah kumnunulia gari na nyumba nzuri ya kifahari,shamba la mifugo na bustani ya wanyama pori,na hela ya kutumia mpk anakufa pamoja na wajukuu zake teh teh teh (Joke)
Comment by mariam beka on May 6, 2011 at 21:44
basi kazi ipo kama ndo hivyo
Comment by rama on May 2, 2011 at 11:56
hayo ni makaratasi na wala hayana thamani na pesa
Comment by Mntambo Mburi on May 2, 2011 at 11:37
Inategemea mishahara / vipato vikoje maana inawezekana wakawa wanamapato in terms of trillions!
Comment by Agnes Nyakunga on May 2, 2011 at 8:50
kazi ipo nadhani ukila mayai huko unaonekana uko juu sana
Comment by Diana on May 1, 2011 at 2:28
Hii nayo kali

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*