Tulonge

Views: 139

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on March 5, 2013 at 17:22

Asante na Karibu sana! Tena nitakupa kampani ya nguvu, tunalisongesha pamoja.. Ila usije na sifa zako ukaniacha !! hahahahaaa Si ajabu tunakimbia wote lakini sijui kama ni binamu yako.. tehehehee @ Mama Malaika.

Comment by Mama Malaika on March 5, 2013 at 12:54

Dixon.. hongereni sana. Binamu yangu huwa anakuja kwenye hiyo marathon karibu kila mwaka, amekuwa akinishawishi siku moja nami nishiriki.

Comment by Dixon Kaishozi on March 4, 2013 at 16:24

Nadhani ukidhamiria huwezi kuwa wa mwisho hata kidogo!! Karibu @ christer

Comment by Dixon Kaishozi on March 4, 2013 at 16:23

Hahaaa... yani unajipima kukimbia kwa kupitia mimi.. shauri yako!! Wale ma-professional wenyewe wanamaliza wengine wanatapika.. sasa uje tu wewe kisa mimi nimemaliza, utashangaa.. hahahaa @ Bonielly

Comment by Bonielly on March 4, 2013 at 16:09

halafu ule mpango wetu wa kukimbiza kuku itabidi wewe usishiriki,,,

Comment by Bonielly on March 4, 2013 at 16:08

kama dick umeshinda basi mwakani mungu akinijalia nitakuja,

Comment by Christer on March 4, 2013 at 11:34

Na mimi nitakuja nikimbie, hhahahahahahaaaaaaaaa naona nitakua wa mwisho katika wooote watakao kuwa wanakimbia.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*