Tulonge

Kutoka kushoto ni CatBonge, Young (aliyevaa t-shirt ya PamoJah, Michuzi Jr, na Majoy. (Aliyefumba macho kwa bahati mbaya sina kumbukumbu ya jina lake.

Views: 165

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on November 15, 2013 at 20:01
Hawa watu nime wa miss sana sana. Young tu ndio nawasiliana naye.
Comment by CHA the Optimist on July 21, 2012 at 16:59

Asentini sana! Dunda mwambie YOUNG tumemmisss sana hapa kijijijni. Mwambie arudi kutusabahi. PamoJah

Comment by ANGELA JULIUS on July 14, 2012 at 11:19

NAJUA WALIPO NITAFUTE KWA MUDA WAKO HE HE HE ILA NATUMAI HAPA NI NYUMBANI IPO SIKU WATARUDI TUU, HUYO ALIYEVAA NYUKUNDU NIMEMSHUHUDIA ALIVO BUSY MANAKE ANAPIGA PICHA HUKU KAPIGA SARAKASI

Comment by Dunda on May 16, 2012 at 13:15

Mwenye fulanazz nyekundu leo nimemuona hapa mtaani kwetu na Camera yáke means yuko,Young mzee wa Man wee yuko majuu na hao wengineo bila shaka wako jijini Bandari ya usalama.......

AMANI KWAO WOTE

 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*