Tulonge

Views: 153

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dunda on January 15, 2014 at 19:39

Kitambo sana mitaa hiyo we acha 

Comment by Dixon Kaishozi on January 6, 2014 at 8:32

Hapo ni kabla ya Oldonyo Sambu!! Siyo mbali na mjini.. ni maeneo ya Ngaramtoni @ Dunda!

Comment by Dunda on January 3, 2014 at 21:29

Mkuu nje ya jiji la A town wapi hapo maana nimepakumbuka Oldonyo Sambu

Comment by Dixon Kaishozi on December 27, 2013 at 9:36

Way to Nairobi, Nje KIDOGO ya arusha.. kama 18km. maeneo ya Ngaramtoni kwa wale wanao ijua arusha kuelekea Namanga. Ndipo kuna huo mlima ambao ukifika juu unakuta shimo katikati yake... Pazuri sana hasa kipindi hiki cha mvua!!

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2013 at 23:05

Haaaaaa   safi saaana!  Route gani hiyo?   tehteh....nice pic!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*