Tulonge

Views: 137

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on October 29, 2013 at 14:17

Hahahaha... Hajalewa mtu hapo!!! Risasi zilikua zimeisha kwenye magazine.. ukiangalia vizuri utaona mkono wa kushoto unapokea magazine alafu natolea macho kwenye meza hapo nipange upya.. 

Mama Malaika... hapo ni camp site, ukitaka unawekewa tent la kwao ama tent lako mwenyewe!! hata swiming pool ipo yani ni wewe tu kwa raha zako!!! 

Comment by Tulonge on October 29, 2013 at 13:36

Halafu mbona kama umelewa? angalia usije ukaigeuzia kwenye paji lako la uso.Pombe haina maana

Comment by Mama Malaika on October 29, 2013 at 13:23
Ok... Asante sana, nitakuja na tent langu kabisa. Sijui wanaruhusu kupiga kambi?
Comment by Dixon Kaishozi on October 28, 2013 at 12:16

Panaitwa Kisongo.. Nje kidogo ya arusha.. Karibu na Meserani snake park kwa rafiki ana eneo zuri la camp site na kufanya zoezi la kulenga shabaha!!! Karibu sana!

Comment by Mama Malaika on October 28, 2013 at 12:07
Dixon... Hapo ni wapi?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*