Tulonge

yoshizzle,manizzle,mafizzle! Hili ndo tatizo la kuvamia jiji wakati ushazeeka...ulanzi, kibuku hakuna..mjini kuna bagi tu!1 teh

Views: 175

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on June 18, 2012 at 11:27

kafananba na bi cheka vileeee duh    hahaaaaaaaaa

Comment by ILYA on February 16, 2012 at 2:40

Bibi hapo anakwambia: Wat's up there!!

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2011 at 22:30

kakolea msuba huyo na petroli yakuvuta puani....south afrika hiyo...si mchezo wala hakuna maisha kule labda kama mtu ni jambazi au dealer anabana watu

Comment by manka on December 16, 2011 at 20:32

huyu naona unatumia sana majani ya chai ya bob marley.

Comment by manka on December 16, 2011 at 20:31

wewe bibi ndo usharo, au machozi ya simba yamekolea?

Comment by Mama Malaika on October 14, 2011 at 14:56
Ha haa haaa.... huyu utasema wale wa Keko shimoni. Maana kule ni balaa kuna historia ndefu kuzidi Uwanja wa Fisi. 
Comment by KUNAMBI Jr on October 13, 2011 at 15:43
kadata huyu bibi jaman
Comment by ANGELA JULIUS on October 12, 2011 at 8:30
lol ha ha ha mimi namsubili huyo mbuzi uliyemtuma kibamba, huyu mmmm kumwondoa ndani inabidi kwanza niende mazoezi ya kijeshi kule USA nikirudi huko aaaaaa mbona itakuwa easy tuu kama vile DR OF MENTAL SPECIALIST  NA MGONJWA. LO HA HA HA
Comment by Gratious Kimberly on October 12, 2011 at 2:55
Haaaaa...Kweli Anjel Malaika wangu leo umeniamulia...yaani wife staili hii kweli nyumbani kutakalika kweli?...Mhhhh.. Haaaa.. nakubali ndo huyo best, nilipotea nikaingia choo cha jela nikabeba huyo....Nakusubiri uje kuniondelea Msukule huu ndani ya nyumba....Fanya fasta fasta mama maana mshenga nimetuma kibamba na mbuzi juu yake!!....Teeeeeeh
Comment by Severin on October 11, 2011 at 23:32
hahhahaaaa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*