"iwe bajeti kubwa au ndogo hiyo ni wao wenyewe, cha muhimu hapa ni alama yetu halisi ya upendo na amani tata madiba mandela anaenda kupumzika kwa amani."
"alipambana amina chifupa alipofikia hatua ya kuwasilisha majina ya wafanyabiashara ya madawa ya kulevya bungeni akafarika, akaibuka rais kikwete akadai naye majina anayo lakini mpaka sasa yupo kimya, juzi tu hapa kaibuka mwakyembe akadai yeye tayari…"
"hiyo ni familia ya bwana na bibi daudi na kama sikosei ni kitabu cha kiingereza darasa la tano la enzi zetu na hao watoto ni musa, neema ila huyo mdogo nimemsahau."