Started this discussion. Last reply by MGAO SIAMINI,P Feb 23, 2013. 5 Replies 1 Like
Breaking News:Salam kwako ndugu mdau:Boti ya "Azam Marine"…Continue
Started this discussion. Last reply by ILYA Jun 1, 2012. 8 Replies 0 Likes
Ndugu Mdau, leo hii naomba tulitizame Bara la Afrika.Tuzungumze walau kwa ufupi kuhusu…Continue
Started this discussion. Last reply by ILYA May 12, 2012. 10 Replies 1 Like
Wanawake mnaweza kukoment na wanaume mkalike. Kura zitahisabiwa na majibu yatatolewa. Na…Continue
Started this discussion. Last reply by ILYA Jan 30, 2012. 2 Replies 0 Likes
When a person whom you trust, hurts you;OrThe person whom you hurt, still trusts you? JustThink…..!Continue
Salama habari za Cku shehe...
Pa1 sana kaka, japo siku hizi sizioni zile stori zako
Happy birthday mkuu! Nakutakia afya njema uwe na mafanikio pia katika shughuli zako.
Happy Birthday mkuu
Happy Birthday! Mkwe uko kimya sana, vipi familia wote wazima?
HERI YA KUZALIWA.. WAGUIYUKAYO OMWAKA. OMUKAMA AKUBELE!! PAMOJAH SANA!
Posted on July 18, 2012 at 17:00 2 Comments 0 Likes
Ni habari za faster,na zingine za haraka zikiwemo zile aina ya Breaking newz zilizonifikia mida hii kwamba hivi sasa meli ya inayoitwa SEAGUL iliyobeba abiria 200ipo inazama katika bahari ya Hindi.Meli hiyo ilikuwa inatokea Dar City kuelekea Zanzibar.
Na hivi sasa ninavyoandika…
ContinuePosted on June 21, 2012 at 0:30 5 Comments 0 Likes
Nazungumza swala hili na wala sibahatishi, bali nina uhakika kuwa:Utumiaji ulevi (hasa wa pombe) una taathira mbaya za kimwili na kiroho kwa mtumiaji, kiasi kwamba, baadhi ya madhara na athari zake haziwezi kufidika. Hii leo utumiaji ulevi umegeuka katika…
ContinuePosted on June 15, 2012 at 17:23 5 Comments 0 Likes
Rais wa Venezuela Hugo Chavez amesema kwamba nchi yake kwa mara ya kwanza imefanikiwa kutengeneza ndege ya kwanza ya kivita isiyokuwa na rubani {-unmanned aerial vehicle…
ContinuePosted on June 12, 2012 at 16:30 4 Comments 0 Likes
Sio siku nyingi,ni siku tatu tu zimepita tangu tusome habari hapa tulonge iliyomhusu mtoto kuponea chupuchupu kuliwa na simba katika Zoo moja inayokwenda kama ifuatavyo:Bahari Zoo.Ni zoo inayopatika katika jiji nene la Dar -es- Salaam,maeneo ya Tegeta.
Habari hiyo ilikuwa inatia hofu kubwa kwa moyo ukizingatia hatari yenyewe "Simba", na…
Continue
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by