Started this discussion. Last reply by Christer Mar 1, 2013. 4 Replies 0 Likes
Mlevi kaanguka toka ghorofani, fasta watu wakamfuata kumsaidia. Wakamuuliza, vipi kulikoni?Mlevi akajibu : HATA SIJUI NA MIE NDO NIMEFIKA SASA HIVI!!Continue
Started this discussion. Last reply by Christer Feb 28, 2013. 1 Reply 0 Likes
walevi watatu walilewa sana wakakodi taxi. Mwenye taxi alipowaona wamelewa sana akawasha gari halafu akazima, akasema "tayari tumefika."- Mlevi wa 1 akatoa pesa akampa.- Mlevi wa 2 akamwambia "thank…Continue
Posted on February 15, 2013 at 20:32 3 Comments 0 Likes
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.
“Suala la Bunge kurushwa ‘live’ halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa…
Posted on May 4, 2012 at 15:00 5 Comments 1 Like
Posted on March 2, 2012 at 9:31 13 Comments 0 Likes
Mchungaji Umar Umulinde wa Uganda akiwa hospitalini. Hizi ni baadhi ya picha alizopiga hivi karibuni mchungaji Umar Umulinde wa Uganda ambaye alimwagiwa tindikali katika mkesha wa sikukuu ya christmas mwaka jana mara baada ya kumaliza ibada,ambapo mpaka sasa kikubwa ambacho mchungaji Umulinde ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu kabla ya kubadili na kuokoka anasema ni…
Posted on February 15, 2012 at 15:21 14 Comments 0 Likes
Kyooma....................
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.
Nakutona!!!!!........
Valued Relationship can never be sustainably maintained by one society being subservient to another Society.
Kibela nipo huku zenji napala samaki yani hao samaki wenyewe naopata walegevu kweli utafikiri wamebemendwaaaa nisiongee sana manake naweza ongea sivo ndivyoo, haya wape salamu huko Arushaaa
waiiiiiiiiiiiiiiiii,nimekumisije chalaanguu.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by