Tulonge

EDDY Mhando
 • Male
 • TANGA,TANZANIA
 • Tanzania, United Republic Of
Share
 • Blog Posts
 • Discussions (3)
 • Groups
 • Photos
 • Photo Albums
 • Videos

EDDY Mhando's Friends

 • Tulonge

EDDY Mhando's Discussions

Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR

Started this discussion. Last reply by Longumok L. Mollel Jan 10, 2013. 13 Replies

WANATULONGE NAOMBA NIWAFAHAMISHE KUWA NDANI YA HUU MTANDO KUNA MATAPELI WANAO JIFANYA NI WASENEGAL AMBAO WAPO KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI HIVYO MNATAKIWA MUWE MAKINI KWA ATAKAE TAKA KUMJUA TAPELI MMOJA…Continue

Gifts Received

Gift

EDDY Mhando has not received any gifts yet

Give a Gift

 

EDDY Mhando's Page

Latest Activity

Longumok L. Mollel replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
Jan 10, 2013
Geoffrey Masai replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"huyo msenegal alisha nitokea hata mimi, kipindi hicho nipo chuo nikawauliza wenzangu nao wakasema alisha watokea, nikamuacha afanye yote ilipo fika mda wa malipo nika mwambia hako kamchezo nakajua vema, hakunifuatilia tena."
Dec 31, 2012
Mathias Mlumba Kiyora replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Huyo dada mjane wa Kithailand hata mimi kanitumia akisema ana hizo pesa na anaogopa kudhurumiwa na shemeji zake. yaani ni wataalam wa kutumia lugha nzuri na yenye kuvutia. kwa kusema ukweli tuwe waangalifu wezi ni wengi sana kwenye mitandao hii ya…"
Dec 30, 2012
Byera replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Asante kwa taarifa hata me nimekutana nao wote hao kina baby love na huyo wa thailand.But nilipo waambia me mwanafunzi hawajanitumia tena email...Kazi kwelikweli"
Dec 29, 2012
Byera liked EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
Dec 29, 2012
MGAO SIAMINI,P replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"kaka hajanitumia mail tena nilimwambia sina pesa za kumlipa lawyer wake eti aandae power of attorney and certificate of oath nilimpiga chini nilianza kujua alikokua anaelekea muda wote wa majadiliano.Anaitwa Fafa baby yuko refugees camp Dakar hawana…"
Dec 29, 2012
Masha waryoba replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Hao hawana Jipya!Mie mwenyewe nilitumiwa ujumbe toka Thailand,na mwanadada akidai ni mjane na mumewe kamwachia Urithi wa £256million.Akanitumia mpaka na Document kibao!Baada ya kutrace zile document!hakukuwa na yoyote iliyo sahihi,zote…"
Dec 29, 2012
Mathias Mlumba Kiyora replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Huyu baby Love hata mimi kanitumia picha zake ni maelezo kibao, yaani hana mpango ni mwizi mkubwa."
Dec 29, 2012
Mathias Mlumba Kiyora replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Mr. Eddy hao mbona tumeshawazoea mimi nimeshatumiwa na sms na madada wawili nimeshawabana kisawasawa matokeo yake siku hizi hawatumi hata sms. maelezo yao yote yanafanana eti ni yatima wako uhamishoni na mengine kibao. Tujiangalie jamani."
Dec 29, 2012
Benedict replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"  "
Dec 29, 2012
Tulonge replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Ila sidhani kama yupo hadi sasa, nonahisi nilisha mpiga chini.Sijamuona"
Dec 29, 2012
MGAO SIAMINI,P replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"hata mimi ninae mmoja nachati nae kila siku kanitumia picha zake na contacts nimemstukia muda mrefu anataka hela kabugi men"
Dec 29, 2012
EDDY Mhando replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Yeye Anatumia Jina La BABY LOVE ngoja nikitulia nitawatumia msg alioniandikia kwa mara ya kwanza pindi nilipo jiunga na huu mtandao wa tulonge,.. nitawapostia na email alio itumia ya kiujumla yote tulio yazungumza kwenye email nitawaonyesha ili…"
Dec 29, 2012
Tulonge replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Asante kwa taarifa hiyo mkuu, itakua ni vizuri kunijuza juu ya watu hao pia ili ni wa block.Wakati mwingine huwa wananikwepa sababu wamehisi mimi ni admin hapa, hivyo huwa hawanitumii hizo msg zao. Wengi wao huwa nawastukia na kuwa-block. Tupo pa1…"
Dec 29, 2012
EDDY Mhando posted a discussion

Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR

WANATULONGE NAOMBA NIWAFAHAMISHE KUWA NDANI YA HUU MTANDO KUNA MATAPELI WANAO JIFANYA NI WASENEGAL AMBAO WAPO KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI HIVYO MNATAKIWA MUWE MAKINI KWA ATAKAE TAKA KUMJUA TAPELI MMOJA AMBAYE YUMO UMU KWENYE HUU MTANDO WA TULONGE TUMIA EMAIL YANGU {MHANDOHATIBU@YAHOO.COM} NIKUJURISHE JINA LAKE ANALOTUMIA HUMU NDANI NA ALILOTUMIA KUTAKA KUNITAPELI HAKUJUA KUWA MIMI NI ASKARI ILA NAWAHAKIKISHIA LAZIMA NITAONYESHA FUNDISHO KWA HAO WANAOJIFANYA NI WAKIMBIZI KUTO DAKAR SENEGAL
Dec 29, 2012

Profile Information

Email Address
Mhandohatibu@yahoo.com
Phone No
0653099460

Comment Wall

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

 • No comments yet!
 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*