Tulonge

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.
  • Male
  • Maswa, Mwanza, Tanzania
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.'s Friends

  • ALAIS JOHN
  • ILYA
  • Tulonge

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.'s Groups

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.'s Discussions

Baraza Jipya, Mawaziri Wapya au Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri?

Started this discussion. Last reply by CHA the Optimist May 8, 2012. 1 Reply

Wengi tumashuhudia Mheshimiwa sana Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza baraza lake jipya na marekebisho yake, nikiwa katika mazingira ya watu mbalimbali wasomi na wasio wasomi nimejaribu kuwauliza…Continue

Hivi hii ni haki kweli?

Started this discussion. Last reply by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. May 1, 2012. 3 Replies

Bwana Toto Kassi ambaye ni Afisa Mistu wilaya ya Same mkoa wa kilimanjaro alisimamishwa kazi na Mh. anayejiita Maige tangu 23/12/2010 na Mkurugenzi alimwandikia kutekeleza agizo la bosi wake kuhusu…Continue

Mauaji haya yanaashiria nini?

Started this discussion. Last reply by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. May 1, 2012. 3 Replies

Kumekuwa na mwenendo usio wa kawaida kwa mambo ya kisiasa kwa mauaji yanayoendelea. Nayaita ya kisiasa kwani yamekuwa yakitokea katika nyakati na vipindi vya siasa na chaguzi ndogo za majimbo na…Continue

HALI TETE TULONAYO.

Started this discussion. Last reply by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. May 1, 2012. 3 Replies

Hivi hii hali ya ukimya iliyotawala ya kuvunjwa na kusukwa upya kwa baraza la Mawaziri tunaionaje? Je sisi Wa-Tz tunahoji au tunachukua hatua gani juu ya ufisadi wa raslimali hizo zilizofujwa na hao…Continue

Gifts Received

Gift

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.'s Page

Latest Activity

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Rais Kikwete na Kenyatta wakutana Johannesburg
"Mambo mengine ya msingi kuhusu maendeleo ya nchi na wananchi wao wanatakiwa kuyajadili kiutu uzima na si kuanza kurumbana kipuuzi na kisiasa tu bila kujali maslahi mazima ya wananchi husika... Haipendezi kabisa, bora mwongee kieleweke......"
Nov 5, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. replied to Zainabu Hamis's discussion SIHITAJI MICHANGO YA HARUSI
"Hongera, nalo neno ila ujiandae kwa utamaduni wa Kitanzania tulozoea au niseme ujamaa ni kuchangia hata kama ni kidogo. So wasipokuja nawe ujiandae kula na kusherehekea peke yako, usilalamike."
Nov 3, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Waziri Mkuu aunda Tume uchunguzi kufuatia matokea mabaya ya kidato cha nne 2012
"This is just bribing people as the matter seems to be a burning issue to moment! For sure nothing will be implemented from the TUME as it is known as TUMIENI"
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Waziri Mkuu aunda Tume uchunguzi kufuatia matokea mabaya ya kidato cha nne 2012
"Hii ndo kawaida ya Serikali yetu, tume bila implementation,  kazi kubwa ni kumaliza fedha za walipa kodi tu. Swali: Ni lini tume ilifanya kazi yake na matokeo yakatangazwa na kufanyiwa kazi?           Lini ambapo…"
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. shared Tulonge's blog post on Twitter
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. shared Tulonge's blog post on Twitter
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. liked Tulonge's blog post Zanzibar: Imamu auwawa kwa mapanga shambani kwake
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Zanzibar: Imamu auwawa kwa mapanga shambani kwake
"Haya ndo mlokuwa mnayataka na shekhe wenu huyo, haya yamalizeni sasa... Chalii huwezi kuhitaji tuition ili upate majawabu ya hilo.. YANATIA KINYAA...."
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Msikilize Sheikh Ilunga akizungumza kuhusu kuwaua Maaskofu/Mapadri,kisha tia neno lako
"Si rahisi hata siku moja kwa mtu mwenye akili timamu ukamweleza kuwa Waislamu hawalijui hili la mauaji ya Wakristo. Shekhe Ilunga ni mjumbe tu wa waislamu wote. Ni mjumbe wa viongozi wa Bakwata na taasisi zote za kiislamu. Kwanini nasema…"
Feb 24, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Msikilize Sheikh Ilunga akizungumza kuhusu kuwaua Maaskofu/Mapadri,kisha tia neno lako
"Huyu shekhe ni mzawa wa kahama na haya kayafanya kweli kwa kuzunguka tanzania nzima, mikoa yote. Ninazo video zake wakati akiwa Pemba, serikali inaona na inafahamu. Lakini kwa vile haya mambo asili yake ni ilani ya CCM ya uchaguzi basi inaona…"
Feb 23, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Spika wa Bunge na naibu wake watakiwa kuendesha vikao vya Bunge kwa kufuata kanuni na kuacha ushabiki wa vyama
"Wamezidi sana kutetea ujinga huu wa Ki-itikadi. Kwa mtazamo mwingine hakuna wanachojenga ila wananunua dharau na chuki kwa bei nafuu sana, Hata hivyo kwa hatua wanayotaka kuifanya ya kutorusha bunge moja kwa moja ni kitendo ambcho watakuja kukijutia."
Feb 14, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. shared Tulonge's blog post on Twitter
Feb 13, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Spika Anne Makinda apokea zaidi ya jumbe 600 zenye wito wa kujiuzulu na matusi
"Kibaya wanachofanya wazalendo wenzangu ni kumtukana, lakini pia shida iliyopo kwa viongozi wetu ni kuwa hawasikii ushauri na ndo maana sasa wazalendo wenzangu wameamua kurusha hata mabomu yaleeee..."
Feb 13, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Spika Anne Makinda apokea zaidi ya jumbe 600 zenye wito wa kujiuzulu na matusi
"Yote hayo yamefanyika ili kukwepa kudhihirika kwa madudu waliyokuwa wakiyafanya viongozi katika rasilimali za taifa kwa kuchota kwa kiwango wanachotaka bila kuhojiwa...."
Feb 13, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Zitto aingia matatani
"Huyu tajiri anauhakika na kile anachosema au ndo yle yale ya mafisadi na kusafishana? Mbona ishu yenyewe ya siku kibao alikuwa wapi? Au mpaka amefanya mawasiliano ya wahusika wa uchakachuaji ili alindwe vizuri?"
Jan 14, 2013
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. commented on Tulonge's blog post Wabeba jeneza wakicheza muziki kwa mbwembwe wakiwa wamebeba jeneza
"So dunia ndo imefika hapa? Kweli hata shetani itafikia kipindi atahoji haya nani katufundisha kama yeye hayajui. Ndo maana tunakodishana kulia misibani kwa sasa,"
Jan 14, 2013

Profile Information

Occupation
Teacher
Email Address
mhuli.sr@hotmail.com
Phone No
0786677292

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.'s Photos

  • Add Photos
  • View All

Comment Wall (2 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 23:19 on April 29, 2012, Tulonge said…

Kwa niaba ya wana tulonge wote nasema KARIBU SANA HAPA KIJIJINI TULONGE. Ni kijiji cha amani na utulivu.KARIBU SANA

At 20:39 on April 29, 2012, Tulonge said…

Karibu tulonge Teacher

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*