JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
(Jeshi la Magereza)
TANGAZO LA KUITWA CHUONI
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza…
ContinueAdded by Tulonge on December 20, 2014 at 15:32 — 3 Comments
KUITWA KWENYE USAILI
Jeshi la Magereza linawatangazia wafuatao kufika kwenye usaili kwa nafasi walizoomba. Usaili huo utafanyika kuanzia tarehe 10/12/2014 mpaka tarehe 17/12/2014 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Magereza…
Huu ni ujumbe ambao uliandikwa na Tracy Kamwite kwenye ukurasa wake wa tovuti ya websta.me akikanusha uvumi kwamba yeye ndiye aliyekamatwa akifanya mapenzi ndani ya gari (Toyota IST) huko Bukoba
Baada ya kifo cha Bw Leonard Mtensa(50) kilichotokea huko Bukoba muda mfupi baada ya kufanya mapenzi ndani ya gari…
ContinueAdded by Tulonge on November 22, 2014 at 20:30 — 4 Comments
Hivi karibuni kumekuwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii kuhusiana na kunyanyaswa, kutendewa vitendo visivyo vya kiungwana na kuteswa gerezani kwa Watuhumiwa wa Makosa ya Ugaidi kinyume na taratibu za Uendeshaji wa Magereza.
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa…
Added by Tulonge on September 21, 2014 at 8:38 — No Comments
Watu 19 wa kijiji cha Utaho wilayani Ikungi wamepoteza maisha wakiwemo askari wanne wa jeshi la polisi, baada ya kugongwa na basi la Summry wakati wakiwa wana toa msaada wa kumpakia marehemu kwenye gari la polisi aliye gongwa na gari kubwa ambalo halikufahamika mara moja .
Basi hilo la kampuni ya Sumry hufanya safari zake kati ya Kigoma na Dar-es-salaam. Dereva…
ContinueAfisa Linda Okello akiwa kazini
Afisaa mmoja wa polisi mwanamke nchini Kenya amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake.
Wakuu wake walichukua hatua ya kumuonya polisi huyo baada ya picha yake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kupigiwa gumzo kubwa.
Alipigwa picha akiwa amevalia sketi yake fupi na yenye…
ContinueAdded by Tulonge on April 29, 2014 at 16:08 — 7 Comments
Tarehe 1 machi 2014 ilikua ni siku ya furaha kwa Bw. Deogratious Kimbila na Bi. Mary Mkumbo na familia zao kwa ujumla pale walipoamua kufunga pingu za maisha huko Berlin, Ujerumani. Tulonge inawapongeza wadau hawa kwa kufikia hatua hiyo na inawatakia maisha mema.
Sasa nadhani wale vidume tuliokua tunamtolea macho dada Mary huu ndo utakua mwisho wetu. Na wale…
ContinueAdded by Tulonge on March 22, 2014 at 11:26 — 27 Comments
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa, kati yao 14 vibaya, baada ya magari matatu waliyokuwa wakisafiria, kugongana, mawili uso kwa uso, huku jingine likijaribu kukwepa ajali, katika eneo la Bwawani, barabara kuu ya Morogoro-Dar es saalam, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
ITV imefika eneo la tukio na kushuhudia magari mawili kati ya yaliyohusika na…
ContinueAdded by Tulonge on March 7, 2014 at 1:59 — No Comments
Mtu moja amefariki duni na wengine 38 wamejeruhiwa baada ya basi la Bunda kugonga kichwa cha treni katika makutano ya reli na barabara wilayani Manyoni.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Bunda lenye usajili wa namba T 782 BKZ lililokuwa likitokea mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Mwanza, mkuu wa wilaya ya Manyoni bi Fatuma Toufiq…
ContinueAdded by Tulonge on February 28, 2014 at 22:45 — 3 Comments
Wafadhili wakatiza misaada Uganda
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya…
ContinueAdded by Tulonge on February 28, 2014 at 22:33 — 6 Comments
Watoto Elikana na Eliudi wakiwa wamebebwa na Daktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Glory Joseph (kushoto) na mama yao, Grace Joel baada ya kuwasili jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam wakitokea India kwa matibabu.Picha na Salim Shao
Dar es Salaam. Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa…
ContinueAdded by Tulonge on February 20, 2014 at 23:52 — 3 Comments
Ajali hii iliripotiwa na mdau wa mtandao wa facebook kama ifuatavyo:- "Hii ajali ni mbaya jaman imetokea muda si mrefu kwenye mlima Wa sekenke Lori la mafuta limeanguka na kuua watu wa nne. Hicho cheus kinachofuka moshi ni mwili wa dada mmoja alieomba lifti"…
Continue Msanii maarufu wa Muziki Tanzania Judith Wambura 'Lady JayDee' ameanza rasmi kujifua na Karate ili kuweka mwili 'fit' na kujijengea ulinzi binafsi. Mwanadada huyu ambaye pia hujiita 'Komando' aliweka picha zikimuonesha akifanya mazoezi kwenye ukurasa wake wa facebook.…
Added by Tulonge on February 19, 2014 at 6:30 — 5 Comments
Hili ni bango linalomnadi mganga mwenye uwezo wa kumpatia mtu hela za majini lililopo eneo la Sinza Mori. Siku za nyuma ilikuwa ni vigumu sana kukutana na mabango ya aina hii. Mambo ya kutafuta hela za majini ilikua ni siri. Ila kwa sasa ni wazi…
Added by Tulonge on February 17, 2014 at 12:49 — 11 Comments
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa Malaika uliopo Kata ya vijibweni, Jimbo la Kigamboni. Picha na Emmanuel J. Shilatu
Na Emmanuel J.…
ContinueAdded by Tulonge on February 17, 2014 at 8:34 — No Comments
Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani utatatizika.
Chini ya sheria hiyo iliyopendekezwa, watu watakaopatikana na hatia ya kujihusisha na vitendo vya ushoga watakabiliwa na hukumu kali, ikiwemo kifungo cha…
ContinueAdded by Tulonge on February 17, 2014 at 8:14 — 20 Comments
Wengi tumezoea kufanyiwa huduma ya 'massage' na binadamu wenzetu. Lakini huko Thailand eneo la Muang kuna kambi iitwayo 'Maesa Elephant Camp' ambapo watu hupewa huduma ya 'massage' na tembo. Tembo hao hutoa huduma hiyo kwa utulivu mkubwa kwa kutumia mguu wake bila kumdhuru mteja. Pia kuna michezo mingine ambayo tembo hao huonesha kama kucheza mpira, muziki, vishale (darts)…
Added by Tulonge on February 17, 2014 at 7:54 — 3 Comments
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nilikutana na picha hii. Nilijaribu kutafuta chanzo chake halisi ili nipate habari kamili lkn nilikosa. Ila picha hii inatosha sana kueleza upendo wa mama kwa mtoto. Ni fundisho tosha kwa wanaodharau mama…
Added by Tulonge on February 15, 2014 at 8:26 — 4 Comments
Tanzania Parliament in session. It is bloated and expensive.
There is an infographic available on the Internet that seeks to illustrate the relative financial burden of politicians across countries.
Specifically, it compares the incomes of politicians with the GDP per capita of their fellow countrymen. A number of years ago…
2014
2013
2012
2011
2010
1999
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by