Tulonge

January 2012 Blog Posts (57)

Story: Rihanna na Bangi !!

Mara nyingi wasanii wa kike wa miondoko ya R&B wamekuwa…

Continue

Added by ILYA on January 31, 2012 at 21:00 — 10 Comments

Story: Snoop Dogg badala ya kuingia na "Song Jipya" sasa ameamua kuingia na "Sigara mpya".

Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa Wanamziki wa Hiphop wamefanikiwa sana kimaendeleo katika sekta hii ya muziki wa miondoka ya kufoka foka.

Miongoni mwa wanamuziki wa Hiphop wa huko majuu ambao kila siku wanazidi kupanda chati ni "Mheshimiwa snoop dog".

Bingwa huyu si tu anazidi…

Continue

Added by ILYA on January 31, 2012 at 19:45 — 4 Comments

Vita vya maneno baina ya Ufaransa na Uingereza vyaongezeka,Sarkozy aonyesha kudharau Uchumi wa Uingereza!

Ugomvi na vita vya maneno kati ya wakoloni wakongwe wa Ulaya yaani Ufaransa na Uingereza vimeongezeka baada ya Rais wa Ufaransa kuufanyia istihzai uchumi wa Uingereza akisema kuwa, nchi hiyo hata viwanda haina.

Jana Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa alizungumza na waandishi wa habari kupitia televisheni kwa…

Continue

Added by ILYA on January 31, 2012 at 15:38 — 2 Comments

Historia Fupi ya Mto Frati (Euphrates River)

Miongoni mwa mito ya zamani sana kihistoria ya enzi hizoooo,na ambao umebahatika kujizolea sifa kibao za kihistoria kutokana na Umuhimu wake hapa duniani ni Mto unaoitwa kwa kimombo:

Euphrates,au Al-Furat kwa Kiarabu,au Furat kwa Kituruki, au Frati kwa Lugha safi ya…

Continue

Added by ILYA on January 30, 2012 at 20:00 — 15 Comments

Tazama video hii: Inaonyesha mwisho wa ajabu wa maisha ya "Kevin Cosgrove" katika tukio la Septemba 11,Marekani.

Video: Matukio ya Septemba 11, Mazungumzo ya simu kati ya muokoaji na mmoja wa watu waliokuwa wamekwama katika ghorofa au sakafu ya 105 aliyeitwa Mr:"Kevin Cosgrove"Katika…

Continue

Added by ILYA on January 29, 2012 at 23:30 — 8 Comments

Bunge la Iran latayarisha muswada kupiga marufuku uuzaji mafuta Ulaya

Bunge la Iran yaani Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu imetayarisha muswada wa sheria ambao utapelekea kupigwa marufuku uuzaji mafuta ya petroli katika nchi za Umoja wa Ulaya ambazo hivi karibuni zimeiwekea Iran vikwazo vya mafuta.

Nasser Sudani Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati katika Bunge la Iran amesema muswada huo wa…

Continue

Added by ILYA on January 29, 2012 at 15:30 — 6 Comments

Ghaddaf kapinduliwa na kuuliwa,watu wataka kukitumia kifo chake kama chambo cha kuwaibia walimwengu !,Jihadhari mdau.

Ndugu wadau:

Habari za Weekend na bila shaka imekwenda vizuri kwa upande wenu.Tumuombe Mungu Weekend zetu ziwe weekend bora daima na zilizoshiba zaidi.Baada ya kuwa umetoka katika weekend basi nitakukaribisha juma hili na habari hii ambayo kwa sasa imeanza kusamba kwa kasi kwa watu kila kona ya dunia.Habari hii…

Continue

Added by ILYA on January 28, 2012 at 12:44 — 4 Comments

Video: Kijana wa Kihindi (House Boy) akipokea kile kipigo cha Nyoka aliyeingia ndani ya nyumba!!

Kutumia maguvu,ukali katika kuadabisha mwanao au kijana uliyemuajiri ,naweza kusema tena kwa kujiami kuwa sio kitu cha kujifakharisha wala kujivunia.Katika sehemu ifuatayo ni link ikionyesha kijana wa kihindi…

Continue

Added by ILYA on January 28, 2012 at 0:00 — 5 Comments

Mabadiliko makubwa Facebook, kuwa makini

Mabadiliko makubwa Facebook, kuwa makini     

Facebook ikiwa ni nyumba ya online kwa mamilioni ya watu duniani, hivyo mabadiriko yanayotokea kwenye facebook ni dhahiri yanaathiri kwengi wetu. Katika siku za karibuni Facebook wamekuja na kitu kipya mbacho wenyewe wanakiita Timeline , hii Timeline ni mpangilio mpya wa kurasa ya facebook ambao…

Continue

Added by Wa Kimberly on January 27, 2012 at 13:00 — 5 Comments

Nigeria: Mtoto azaliwa bila mikono wala miguu.THE people of Dunomari in Sakwa village, Zaki Local Government Area of Bauchi State, were stunned two weeks ago, when a housewife, Rukaiyya Didda, delivered a baby girl without arms and legs, even as the parents of the strange baby have called for help from government and kind-hearted Nigerians to raise her.

Nigerian Tribune gathered that the girl, named Fatima,…

Continue

Added by Tulonge on January 27, 2012 at 0:25 — 9 Comments

Aki huyooooo katika Jiji la Gharam la 'Abu Dhabi' akiwa na mkewe

WIKI chache baada ya kufunga ndoa na mkewe, msanii wa Nigeria, Aki, amekwenda Abu Dhabi kula fungate.Abu Dhabi ni mji maarufu na wenye maisha ghali katika nchi za Falme za Kiarabu.

Msanii huyo ambaye alioa kwa siri Ijumaa ya Desemba Pili mwaka jana, fungate yake ililazimika kusubiri kwa muda kutokana na taratibu za uhamiaji pamoja na matakwa ya washauri wake wa…

Continue

Added by ILYA on January 25, 2012 at 2:00 — 6 Comments

KANDANDA : Resi za kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika zaanza:Mibabe ya Soka Afrika yatolewa Mijasho.

Mibabe ya soka Afrika yatolewa jasho Timu ya taifa ya soka ya Gabon, ambayo ni mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika Gabon imeanza vizuri resi za kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika, baada ya kuonyesha mchezo mzuri katika mchuano wake wa kwanza katika Kundi C, kwa kuifunga Niger mabao…

Continue

Added by ILYA on January 25, 2012 at 1:00 — 5 Comments

Bodi ya mikopo Tz yatoa majina ya wanafunzi wanaotakiwa kuanza kurejesha mikopo yao haraka iwezekanavyo.

Bofya hapa kuona kama upo katika orodha ya wanao daiwa.

The Higher Education Student' Loans Board (HESLB), hereby notifies all loan beneficiaries who are not servicing their loans and whose names appear on the website of the Board (www.heslb.go.tz) that it is a legal requirement as per section 19…

Continue

Added by Tulonge on January 24, 2012 at 21:38 — 9 Comments

"Wafuasi wa Gaddafi' wateka mji wa Bani Walid baada ya Marekani kutuma wanajeshi Libya"

Hali bado si shwari nchini Libya hasa baada ya Marekani kutuma wanajeshi wake 12,000 ambao lengo lao ni kwenda kudhibiti visima vya mafuta na bandari za kiistratijia.

Maandamano ya wananchi yanaendelea, mji wa Bani Walid umetekwa na watu wanaodaiwa ni wafuasi wa Kanali Muammar Gaddafi huku serikali nayo ikishindwa kupitisha…

Continue

Added by ILYA on January 24, 2012 at 15:52 — 7 Comments

Iran kuufanya ulimwengu mzima kuwa moto na usio salama kwa Marekani

Mmoja kati ya wabunge wa Iran amesema kuhusiana na tukio la "Ujasiri wa kijeshi" wa kutafuta sifa wa Marekani katika Lango la Kiistratejia la Hormuz kwamba: Iran kwa muda mfupi iwezekanavyo itatoa majibu makali mno kwa kuifanya dunia mzima kuwa moto na isiyo salama kwa wa-Amerika.

Mohammad Kowsari alisema siku ya Jumatatu…

Continue

Added by ILYA on January 23, 2012 at 21:00 — 4 Comments

Wanajeshi elfu 12 wa Marekani wapelekwa nchini Libya,ukoloni mambo leo wanukia nchini Libya.

Nchi ya Libya ambayo imeanza kuondoka katika kipindi kilichojaa patashika na machafuko makubwa sasa imeanza kulengwa na wakoloni mambo leo wakiongozwa na Marekani baada ya kutangazwa kuwa askari elfu 12 wa nchi hiyo wamepelekwa huko Libya.

Kupelekwa askari hao wa Marekani nchini Libya kunafanyika kwa malengo ya kisiasa na…

Continue

Added by ILYA on January 23, 2012 at 14:21 — 3 Comments

Marekani kutuma Manowari ya kivita ya kizamani, yenye umri wa miaka 50 katika Ghuba ya Kiajemi.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Leon Panetta ameamua kuendelea kuhifadhi moja ya meli 11 za kivita licha ya kuwepo hali mbaya ya bajeti,zaidi ya hilo ni kujiweka sawa katika mradi wa nguvu ya baharini dhidi ya Iran.

Akiwa katika bodi ya Meli kongwe ya Marekani yenye kubeba ndege za kivita,ijulikanayo kwa jina la "USS…

Continue

Added by ILYA on January 23, 2012 at 13:37 — 2 Comments

Moja ya faida za Mkataba wa N.P.T,yaani: "Mkataba wa kuzuia usambaaji au ueneaji wa silaha za nyuklia duniani".

Mdau mmoja wa Tulonge,kaniuliza na kunitaka nitoe faida moja wapo ya mkataba wa N.P.T.

kwa ufupi sijazama sana ki.N.P.T,lakini namiliki maarifa kunako N.P.T wala kiwango kidogo.

Hivyo nikielezea faida za kuwepo N.P.T naweza kutambaa namna hii kama ifuatavyo.…

Continue

Added by ILYA on January 22, 2012 at 22:30 — 9 Comments

Morocco: Ukosefu wa ajira wasababisha watu watano kujichoma moto.

BEIRUT, Lebanon — More than a year after a young Tunisian set himself on fire and touched off revolutions throughout the Arab world, self-immolation, symbolic of systemic frustration and helplessness, has become increasingly common across the region.

On Wednesday, five young men self-immolated in Morocco, adding to the grim tally…

Continue

Added by Tulonge on January 22, 2012 at 21:21 — 5 Comments

Mtandao wa Facebook kidogo upoteze heshima ya Flora Mbasha anayefoka muziki wa Kiinjili.

Mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook umemponza msanii mahiri wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, baada ya mtu asiyefahamika ambaye ni shabiki wake kugandisha picha chafu za ngono kwenye ukurasa wake ambayo iliibuka mijadala na kushangaza wengi wiki iliyopita.

Mbasha aliyetamba na nyimbo kama…

Continue

Added by ILYA on January 21, 2012 at 22:00 — 7 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*