Tulonge

January 2013 Blog Posts (166)

Mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi na askari waliokua wakimlinda wamkera HakimuHapa akiingizwa mahakamani leo…

Continue

Added by Tulonge on January 31, 2013 at 17:14 — 1 Comment

Mvua iliyonyesha kwa muda wa saa 8 imeleta uharibifu Singida

Mvua kubwa iliyo nyesha kwa muda wa saa nane imeleta maafa kwa kuharibu mashamba zaidi ya ekari miamoja na ishirini ya vitunguu katika halmashauri ya wilaya ya Singida.

Added by Tulonge on January 31, 2013 at 0:03 — No Comments

Unawaona mastaa wetu enzi za Mwalimu?

Kweli tumetoka mbali, jaribu kulinganisha muonekano wa mastaa hawa enzi hizo na wanavyo onekana sasa.R.I.P Max, ulikua ni mmoja kati ya wachekeshaji wanaokubalika sana hapa Tanzania. Ulikua ukisimama na Zembwela watu lazima wavunjike mbavu.

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 23:50 — 2 Comments

Morogoro: Ule utabiri wa Kakakuona umetimia

NA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO.

lKIWA ni takribani siku kadhaa tangu mnyama Ngakakuona kuibuka hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro na kutabiri mvuma na mafuliko mwaka huu.utabiri huo umetimia jana mkoani hapa ambapo mvua kubwa ilinyesha mfululizo kwa zaidi ya dakika…

Continue

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 23:38 — 4 Comments

Kama hukuwahi ona picha za harusi ya Obama na Michelle hizi hapa

Their wedding will be 21 years this year, they got married on the 3rd of October 1992 at Trinity United Church of Christ in Chicago. 21 years ago, will they figured that one day they will become the president/ first lady of the…

Continue

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 22:46 — No Comments

Huyu ndiye mchawi wa timu ya soka ya Burkina Faso anaye isaidia timu hiyo ktk michuano ya 'AFCON'

Katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea huko Afrika Kusini, imesadikika kwamba baadhi timu zimeenda na wachawi wao ambao huwasaidia kuwapa uhindi kwa njia za kishirikina. Moja ya timu hizo ni Burkina Faso. Pichani ni mchawi ambaye huisadia Burkina Faso katika kupata ushindi katika michuano hiyo.Ana uzoefu wa miaka 28 katika kazi…

Continue

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 21:44 — 3 Comments

Lulu akataa kufanyiwa sherehe ya kupongezwa kurudi uraiani

January 29 2013 ndio msajili alithibitisha kwamba mwigizaji Lulu ametimiza masharti yote ya dhamana juu ya kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia na hivyo kumwachia kwa dhamana.....

Lulu na mama yake mzazi wote kwa pamoja waliangua vilio baada ya dhamana yao kukamilika wakati wakiwa nje ya Mahakama kabla ya kuondoka na Lulu kuingia…

Continue

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 21:10 — 6 Comments

Haya sasa, unamuona baba msamaria mwema...

Baba msamaria akimsaidia mama huyo kwa kumbeba na kumuingiza ndani ya dala dala kupitia dirishani. Tukio hili lilitokea juzi usiku huko Ubungo.Picha na Audiface Blog

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 20:43 — No Comments

Mgogoro wa gesi Mtwara: Pinda azima uasi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda 

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amefanikiwa kutuliza jazba za wakazi wa Mkoa wa Mtwara baada ya kueleza jinsi watakavyonufaika na gesi itakayozalishwa mkoani humo kabla ya kusafirishwa kwa bomba hadi Dar es Salaam.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia amewaomba radhi…

Continue

Added by Tulonge on January 30, 2013 at 8:15 — 2 Comments

TID na Wema wapendekezwa zaidi kuiwakilisha Tanzania kwenye BBA 2013

Tarehe 26 tuliandika habari kuhusu Mastaa 10 wanaoweza kuwa wawakilishi wazuri wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 2013. Katika majina hayo 10, Wema Sepetu, TID, Lisa Jensen na Fezza Kessy ndio walionekana kuwavutia wengi.

Leo kupitia ukurasa wetu wa Facebook tumeendesha kura ya maoni ambapo tumewataka watu wawataje…

Continue

Added by Tulonge on January 29, 2013 at 23:26 — 13 Comments

Sasa "Lulu" atinga uraiani rasmi kwa dhamana

Lulu akiwa na Mama yake ndani ya gari iliyokwenda kumchukua.

Hatimaye msanii wa filamu Elizabeth Michael "Lulu", leo ameingia rasmi mtaani baada ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam kuipitisha dhamana yake ikiambatana na masharti lukuki. Lulu anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake marehemu Steve Kanumba tar 7…

Continue

Added by Tulonge on January 29, 2013 at 23:15 — 7 Comments

Taarifa kwa umma: Uwezekano wa matukio ya mvua kubwa

Added by Tulonge on January 29, 2013 at 22:54 — 2 Comments

Furaha ya msanii Lulu kurejea uraiani leo yayeyuka...

Furaha ya msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kurejea uraiani baada ya mahakama kuu Dar es salaam kuridhia kupewa dhamana imeyeyuka kutokana na kurejeshwa rumande licha ya kukidhi vigezo vya dhamana vilivyotolewa na mahakama hiyo kutokana na kutokuwepo kwa msajili wa mahakama aliyetakiwa kupitia vielelezo vya dhamana.

Added by Tulonge on January 28, 2013 at 23:12 — 5 Comments

Wanafunzi wa IFM na St. John Dodoma mnasemaje hapo

Added by Tulonge on January 28, 2013 at 14:25 — 2 Comments

TANZANIA NCHI YANGU

Ni nchi ambayo imezungukwa na mali asili ya kila aina ,lakini viongozi wamegeuza mali asili ya mtanzania kama sehemu y a kujipatia kipato binafsi huku wakitumia mabavu na nafasi zao yaani vyeo vyao, je? itakuwaje siku wenye mali zao yaani watanzania wakiamua kuonyesha hasira zao ?

Masikini watanzania bado tupo katika wakati mgumu sana tena sana hali y a maisha…

Continue

Added by issack ashery sabugo on January 28, 2013 at 13:08 — 2 Comments

Elizabeth Michael "Lulu" kuachiwa kwa dhamana

Dhamana ya msanii wa filamu Lulu inaendelea kusikilizwa katika mahakama kuu kanda ya Dar es salaam na mpaka sasa upande wa serikali mawakili wamesema hawana pingamizi na dhamana hiyo,Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika…

Continue

Added by Tulonge on January 28, 2013 at 13:00 — 15 Comments

Mgogoro wa uongozi wafunga kanisa Tabata

Katika hali isiyo ya kawaida jeshi la polisi mkoa wa Ilala jijini Dar es salaam limelazimika kupiga kambi katika eneo lililopo kanisa la Morovian Tanzania jimbo la mashariki usharika wa Tabata, kutokana na uwepo wa mgogoro wa uongozi wa kanisa hilo jambo lililowafanya waamini wa kanisa hilo kushindwa kufanya ibada kama ilivyo ada baada ya upande mmoja wa uongozi…

Continue

Added by Tulonge on January 28, 2013 at 6:50 — 2 Comments

RIPOTI: Walioachika, wasiooa kufa mapema

UTAFITI mpya wa masuala ya uhusiano umebainisha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 35 na 40, ambao hawajaoa au kuolewa wapo kwenye hatari ya kufa mapema tofauti na waliooa au kuolewa.

Matokeo ya utafiti huo, uliofanywa hivi karibuni na wataalamu wa masuala ya uhusiano ukiongozwa Dk Ilene Siegler wa Idara ya Sayansi ya Tabia kutoka Chuo Kikuu…

Continue

Added by Tulonge on January 28, 2013 at 2:50 — 3 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*