Tulonge

January 2014 Blog Posts (31)

Mdau kuna ukweli hapa au la?

Added by Tulonge on January 31, 2014 at 21:43 — 5 Comments

Wabunge wa Tanzania wajiongezea marupurupu

Kumekuwa na ghadhabu nchini Tanzania kufuatia uamuzi wa wabunge kujiongeza maelfu ya dola kama marupurupu.

Pesa hizo wanasema ni mkono wa kwaheri.

Marupurupu hayo yatatolewa kwa kila mbunge wa bunge la Tanzania lenye wabunge 357 wakati watakapokamilisha muhula wao wa tano kama wabunge.

Kila mbunge nchini Tanzania, hupokea mshahara…

Continue

Added by Tulonge on January 31, 2014 at 21:39 — 4 Comments

Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.

Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo huingia kichwani na kusababisha…

Continue

Added by Tulonge on January 24, 2014 at 12:27 — 24 Comments

Jamaa wakiiba mafuta toka kwenye tanki la lori mchana kweupee eneo la Tazara DSM

Bila wao kutambua, Kamera ya Tulonge iliwanasa vijana hawa watatu wakiiba mafuta toka kwenye lori la mafuta lenye namba T873 BHE eneo la Tazara barabara ya Nyerere DSM leo. Vijana hao walipata fursa hiyo baada ya lori hilo kusimama likisubiri taa za kuruhusu kuondoka. Kwa muda wa dakika chache, vijana hao walifika kwenye lori hilo na kufungua…

Continue

Added by Tulonge on January 21, 2014 at 14:17 — 9 Comments

Baba wa kambo awachoma moto watoto wawili huku mama yao akishangilia

Askari wanaharakati  wa dawati la mtandao wa jinsia kulia na kushoto wakiwa wamemkamata mama wa watoto  hao tayari kwenda polisi…


Continue

Added by Tulonge on January 20, 2014 at 16:30 — 2 Comments

Lindi: 9 wafariki, 30 wajeruhiwa kwa ajali ya basi

Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria la Alhamdulilah linalofanya safari zake kutoka jijini Dar kwenda mkoani Mtwara kupinduka katika kijiji cha Mambulu Manispaa ya Lindi. Ajali hiyo iliyotokea mchana leo baada ya basi hilo kupishana na lori na kupoteza mwelekeo…
Continue

Added by Tulonge on January 20, 2014 at 15:30 — No Comments

Uhamisho na uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri

Bofya hapo chini kupata taarifa kamili

Mabadiliko-Baraza-la-Mawaziri-2014

Added by Tulonge on January 19, 2014 at 23:11 — 1 Comment

Museveni Akataa Kuidhinisha Mswada (Adhabu Kali) Dhidi Ya Mashoga Akiogopa Nchi Wafadhili Kusitisha Misaada Kwa Uganda

Pichani; Campaigners toka Uganda wakiwa kwenye Parade mjini London (2013) kuhusu Homosexuals.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kuidhinisha mswada na amemuandikia spika wa bunge barua na kumkosoa kwa hatua ya kupitisha mswada huo December 2013.

Mswada huo unatoa adhabu kali kwa watu watakaopatikana na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia…

Continue

Added by Mama Malaika on January 17, 2014 at 17:46 — 6 Comments

Hii kali:Njia watumiayo baadhi ya wanafunzi wa China ili kujizuia wasilale wanaposoma

Kweli elimu si lele mama. Usingizi ni adui mkubwa sana wa ufaulu wa wanafunzi hasa kipindi cha mitihani. Mbinu mbalimbali hutumiwa na wanafunzi ili kuzuia usingizi wakati wa kujisomea. Nadhani hii inayotumiwa na wanafunzi wa China ni kiboko.…

Continue

Added by Tulonge on January 14, 2014 at 10:00 — No Comments

Nililala nikiwa naona, nikaamka na upofu

“Wengi wetu tunaishi bila kujiuliza maswali kama; “Itakuwaje iwapo siku nitaamka nikiwa sina uwezo wa kuona tena? Hatujiulizi maswali kama haya kwa sababu tunavichukulia vitu muhimu kuwa vya kawaida tu.”

 

“Hata mimi nilikuwa mmoja kati ya watu hao hadi Januari 2008, nilipopoteza uwezo wa kuona, mama yangu alikuja kuniamsha lakini jibu langu lilikuwa; siwezi…

Continue

Added by Tulonge on January 12, 2014 at 7:42 — 3 Comments

Hiki ndicho kilichowatokea waumini walio kula nyasi huko Afrika Kusini

Dada akitoka nduki kuelekea chooni pale tumbo lilipoanza kusokota baada ya kula nyasi

Hiki ndicho kilichotokea baada ya mchungaji Lesego Daniel mwenye kanisa lake huko Garankuwa, Kaskazini mwa Pretoria, nchini Afrika Kusini kuwaamuru waumini wake kula nyasi. Alidai kwamba binadamu anaweza kula kitu chochote kwa imani. Baada ya kula…

Continue

Added by Tulonge on January 11, 2014 at 14:00 — 6 Comments

Hii kali: Mchungaji awashawishi waumini kula nyasi

Moyo unanituma kusema huu ni Ujinga lakini ninasita. Tukio hili lilitokea Afrika Kusini pale mchungaji Lesego Daniel ambaye ni mchungaji mkuu wa ' Rabboni Centre Ministries' alipowafanya waumini wake waamini binadamu anaweza kula chochote jinsi roho mtakatifu atakavyo muongoza. Haikueleweka kama waumini hao waliongozwa na roho mtakatifu kwa wakati mmoja hadi kuanza kula…

Continue

Added by Tulonge on January 10, 2014 at 10:00 — 10 Comments

Watoto 3 wa familia moja wamefariki baada ya kugongwa na basi la Mtei wakiwa kwenye pikipiki

Watoto watatu wa familia moja ambao walikuwa wamepanda pikipiki wamekufa baada ya kugongwa na basi la Mtei express katika njia kuu itokayo Singida hadi Arusha ambapo baada ya tukio hilo wananchi wenye hasira waliamua kulichoma moto basi hilo.

Kamanda wa polisi mkoani Singida SACP Gefrey Kamwela amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Mtei…

Continue

Added by Tulonge on January 10, 2014 at 0:16 — 2 Comments

Mama Yangu!! Dereva arushwa mita 20 juu kwa ajali ya gari (video)

Nimekutana na hii video clip mahali. Yasemekana ajali hii ilitokea China. Katika uchunguzi wangu nimeshindwa kugundua kama video hii imetengenezwa, ingawa kuna baadhi ya wadau wanadai imetengenezwa bila kutoa vigezo vya kiteknologia

Added by Tulonge on January 8, 2014 at 8:51 — No Comments

Zitto Kabwe apewa ushindi katika shauri lake la kipinga kujadiliwa

Mahakama ya rufaa kanda ya Dar es Salaam imempa ushindi mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zitto Kabwe katika shauri lake la kupinga kamati kuu ya chama chake kujadili uanachama wake hadi rufaa aliyokata baraza kuu la chama hicho itakaposikilizwa na kuamuliwa.

Akitoa maamuzi ya kesi hiyo jijini Dar es Salaam jaji aliliyeendesha kesi hiyo John Utamwa amesema…

Continue

Added by Tulonge on January 7, 2014 at 23:47 — No Comments

Ujenzi wa daraja la Kigamboni kukamilika 2015

Ujenzi wa daraja la Kigamboni hautakamilika kama ilivyotarajiwa Januari 2015 na badala yake utakamilika Julai 2015 kufuatia mikondo ya maji kukutwa chini ya miamba iliyotarajiwa kusimamishiwa nguzo za daraja hilo na kulazimisha mkandarasi kuongeza urefu wa nguzo kutoka mita 64 hadi 84.

 

Katibu mkuu wizara ya ujenzi injinia Mussa Iyombe amesema hayo wakati…

Continue

Added by Tulonge on January 7, 2014 at 23:27 — No Comments

Rais Kikwete aongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Dkt. Mgimwa

 Kaimu Waziri wa Fedha Mhe…
Continue

Added by Tulonge on January 7, 2014 at 20:00 — 1 Comment

Nimependa uungwana wa Etoo: Amuomba msamaha Trafiki ili asitozwe faini

Booked: Samuel Eto'o appears to plead with a traffic warden in Milan

We all know how annoying it can be when you've barely been parked two minutes and a traffic warden somehow has a ticket on your windscreen before you can even blink.

No matter how much you plead or beg, the traffic warden refuses to give any quarter…

Continue

Added by Tulonge on January 6, 2014 at 8:00 — 9 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*