Tulonge

February 2012 Blog Posts (54)

Kenya:Mwanafunzi wa miaka 90 aendelea na masomo yake vizuri.Sasa yupo darasa la 3.

-Ameahidi kuendelea na masomo endapo Mungu atamuwezesha kuendelea kuona.

-Anapendwa sana na wanafunzi wenzake darasani,ambao ni kama vitukuu kwake.

-Huwaongoza wanafunzi wenzake kusoma wawapo darasani.

This is the story of a 90-year-old grandmother who is just in standard three. Priscillah Sitienei or 'gogo' as her she is popularly known, can now read…

Continue

Added by Tulonge on February 29, 2012 at 21:16 — 10 Comments

Zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6.

A Masvingo woman and her son have fallen in love with one another. And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son's child.Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with her first child, Farai Mbereko…

Continue

Added by Tulonge on February 29, 2012 at 21:08 — 11 Comments

Dume la Kinaigeria labadilishwa na kuwa mwanamke huko Hispania,sasa laitwa Miss Stephanie.

She was once a guy. He was born Dapo Adaralegbe, but he’s now Stephanie Adaralegbe. Dapo was a popular homosexual law student back in the day in Obafemi Awolowo University but was expelled in 2001 because of his identity crisis. He moved to Spain where he is now living as a…

Continue

Added by Tulonge on February 29, 2012 at 13:01 — 8 Comments

Mfupi kuliko wote duniani:Atikisa kitabu cha record ya dunia!

Katika picha ni:Chandra Bahadur Dangi,raia wa Nepal akipewa Cheti na Mhariri Mkuu anayeshughulikia na kuhusika na watu waliovunja rekodi katika dunia hii katika mambo mbali mbali-Chief of Guinness World Records-bwana Craig Glanday.Mheshimiwa huyu ,bwana Shortest man in the world, alipokea cheti hicho baada ya kutangazwa kuwa ndiye mwanaume mfupi zaidi wa…

Continue

Added by ILYA on February 29, 2012 at 12:00 — 5 Comments

Kifanyike kitu gani kuwasaidia watoto wa mitaani?

Watoto wa Mitaani wanaosimama Mabarabarani kwa shughuli ya kuomba omba wakiwa wamelizonga gari lililokuwa limesimama kusubiri ruhusa ya Taa za kuongozea magari Barabara ya Morogoro road kutaka kupewa hela na mwenye gari hilo mchana wa leo.hali ya Watoto hawa kuongezeka mitaani ilazidi siku hadi siku na huku wengine wakifanya fujo iwapo hawapewi hela wanazozihitaji na wengine…

Continue

Added by Severin on February 27, 2012 at 22:34 — 5 Comments

Ghana: Kinyume na haki za wanyama,kijana akamatwa akifanya mapenzi na farasi ndani ya Zoo (Video).

Ghana - Kumasi: Horny zoo guard caught trying to have sex with a horse unaware he was being recorded.

The funny thing is that it was broad daylight and this idiot got completely naked and decided to screw the innocent horse.Our source says that this is not the first time he's slept with that particular horse.…

Continue

Added by Severin on February 27, 2012 at 21:00 — 16 Comments

Je unajua: Ni nani au ni kitu gani tunachotakiwa kukipenda zaidi.?!

Siku moja,baba  alikuwa akiosha na kung'alisha gari lake jipya akiwa na kijana wake wa kiume mwenye umri wa miaka 4.

Kijana huyu alikuwa anamsaidia baba yake kuosha gari lakini hajui lolote kuhusu thamani ya gari la Father.

Kijana katika michezo chezo yake, alizunguka upande wa pili wa…

Continue

Added by ILYA on February 26, 2012 at 15:00 — 14 Comments

Iran kushirikiana na Tanzania katika sekta ya sayansi na utamaduni.Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu ICRO amesema ustawi wa kipekee wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kisayansi ni mfano mzuri wa kuigwa na nchi za Kiafrika.

Dkt. Mohammad Baqer Khorramshad ameyasema hayo mjini Dar es Salaam alipokutana na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Tanzania Profesa Makame…

Continue

Added by ILYA on February 26, 2012 at 12:00 — 10 Comments

Hadithi nzuri ya Saidia Usaidiwe!

Kulikuwepo na kijana mdogo sana aliyeitwa Shankar.Kijana huyu familia yake ilikuwa familia duni na maskini sana,chai kwa karoti na  ugali kwa chumvi !.

Siku moja kijana huyu alikuwa anapita pita zake  msituni akiwa amebeba mzigo wa kuni.Mara huko msituni akamuona mzee aliyekuwa na njaa sana.Shankar alitamani kumsaidia na kumpa chakula,lakini hakuwa na chakula…

Continue

Added by ILYA on February 26, 2012 at 0:42 — 5 Comments

Hadithi nzuri ya : Mtoto wa ngamia na mama yake.!

Mama na mtoto wake ngamia siku moja walikuwa wamerest zao huku wakinywa zao chai vitafunio karoti,hahahhahaha.

Ghafla mtoto akamuuliza mama yake:"Mama,naweza kukuuliza maswali kadhaa?!.

Mama akasema:"Hamna tabu,!,kwani nini mwanangu,kuna kitu chochote kinakuboa?!.Mtoto akasema:Hapana ispokuwa tu kuna baadhi ya vijimambo…

Continue

Added by ILYA on February 23, 2012 at 22:30 — 12 Comments

Pale mtu asiye julikana alipofanikiwa kuupiga picha mwili wa Whitney ndani ya jeneza.

A photograph apparently showing Whitney Houston in her open coffin has been published on the cover of US magazine 'National Enquirer'.

The chilling picture shows the singer lying dead in her golden casket, clad in a regal purple dress and wearing what looks like a diamond brooch and earrings.

The weekly magazine has run the snap alongside a bold headline…

Continue

Added by Tulonge on February 23, 2012 at 22:30 — 2 Comments

IRAN: Mchungaji ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kubadili dini kutoka uislam kwenda ukristo, na kukataa kuurudia uislam alipo amriwa kufanya hivyo.

Facing execution Youcef Nadarkhani with his wife and two children in

an undated photograph circulated by religious rights organisations

A Christian pastor who converted from Islam is to be put to death for leaving Islam following the ruling of an Iranian court, it was reported today.…

Continue

Added by Tulonge on February 23, 2012 at 22:00 — 21 Comments

Nigeria: Kijana wa miaka 28 afunga ndoa na mzee wa kizungu wa miaka 71

In a wedding ceremony at Ikoyi registry, Lagos, a 28-year-old Nigerian man has tied the knot with a 71-Year-Old European woman. Despite the 43 years difference in their ages, the couple expressed they got married because they are deeply in love. However, many Nigerians are saying this wedding maybe for other reasons but not love.…

Continue

Added by Tulonge on February 22, 2012 at 21:30 — 32 Comments

Hakuna kitu kizuri kama kumaliza ugomvi wenu,na kuwa Pa1 ! .

Tunapomzungumzia au kumtaja mtu anayeitwa Joseph Mbilinyi walio wengi wanaweza wasimfahamu kwa haraka.Lakini tutakapomtaja kwa kutumia aka yake yaani: A.k.a Mr II -Sugu,hapo si tu kwa wadau wa Tulonge wote kwa ujumla watamfahamu kw aharaka bali pia watanzania wote kwa ujumla watamfahamu bingwa huyu.

Mkali huyu wa miondoko ya…

Continue

Added by ILYA on February 22, 2012 at 20:30 — 4 Comments

Tanesco yaishiwa mita za Luku

Ofisa Habari wa Tanesco Badra Masoud

Ibrahim Yamola

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco), linakabiliwa na uhaba mkubwa wa mita za Luku, kiasi cha kufanya baadhi ya wateja waliolipa zaidi ya miezi minne iliyopita kushindwa kupata huduma hiyo.Pamoja na wateja kuahidiwa kuanza kupata huduma ya Luku mwishoni mwa mwaka,…

Continue

Added by Tulonge on February 22, 2012 at 7:03 — 4 Comments

Zitto: Umeme wa dharura ni ufisadi

ASEMA SH 1.7 TRILIONI ZINAZOTUMIKA KWA MWAKA ZINATOSHA KUTANDAZA BOMBA LA GESI NA KUMALIZA KABISA TATIZO

Boniface Meena, Muheza

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amesema miradi ya umeme wa dharura inayoigharimu Serikali Sh1.7 trilioni kwa mwaka ni kichaka cha ufisadi.

Akizungumza na wakazi wa Muheza katika mkutano wa hadhara juzi, Zitto…

Continue

Added by Tulonge on February 22, 2012 at 4:02 — 5 Comments

Iran kutuma Satelite mpya ya Farj katika anga za mbali hivi karibuni!.

Mkuu wa Wakala wa Anga (ISA) WA Iran,Hamid Fazeli amesema kwamba Iran ina mpango wa kuzindua satelite yake mpya iliyotengeneza nchini Iran kwa jina Fajr (Dawn)na kuituma katika anga za mbali wakati wa miezi ya mwanzo ya  mwaka mpya wa kalenda ya Iran.Fajr ni kipimo na ni satellite…

Continue

Added by ILYA on February 21, 2012 at 16:00 — 11 Comments

Stori nzuri na yenye thamani ya "kijana kipofu."

Kijana mmoja kwa bahati mbaya alikuwa kipofu.Siku moja alikuwa amekaa karibu na jengo zuri sana akiwa na kofia chini ya miguu yake.Mbele ya jengo kuna road watu wapita wakienda kwenye shughuli zao za kila siku.Kijana alikuwa ameandika ujumbe kwenye kofia yake uliosomeka hivi:"Mimi ni kipofu,tafadhari naomba msaada".

Kulikuwa na…

Continue

Added by ILYA on February 21, 2012 at 12:30 — 13 Comments

Suzan Mubarak atishia kuanika siri za Marekani hadharani!

Mke wa dikteta wa zamani wa Misri Hosni Mubarak amemwandikia barua Rais wa Marekani na kumtishia kuwa, iwapo Washington haitoingilia kati na kuzuia kuhamishiwa mumewe katika jela moja ya katikati mwa mji wa Cairo, atafichua siri za Washington kwa maafisa wa Misri.

Maafisa wa Misri wanataka kumuhamishia dikteta Hosni Mubarak katika jela hiyo ili kuzima hasira za…

Continue

Added by ILYA on February 20, 2012 at 22:23 — 4 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*