Tulonge

February 2013 Blog Posts (123)

Mbeya: Ajali ya lori yaua watano na kujeruhi 130

WATU watano wamepoteza maisha na wengine 130 wamejuruhiwa vibaya huku hali zao zikiwa mbaya baada ya Lori walilokuwa wakisafiria shambani kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Mapogolo kata ya Itamboleo Wilayani Mbarali Mkoani hapa.

Ajali hiyo imetokea leo saa 1:30 asubuhi ambapo lori hilo ambalo ni mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga Rice Project, na…

Continue

Added by Tulonge on February 1, 2013 at 19:31 — No Comments

Polisi Mtwara wakimbia makazi

SHINIKIZO la wananchi mkoani Mtwara kutaka gesi isitoke mkoani humo, limesababisha polisi takriban 50 kuzikimbia familia zao baada ya kutishiwa maisha na wananchi.Habari zilizolifikia gazeti hili na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Maria Nzuki zimeeleza kuwa polisi hao ambao wengi wao ni wale wanaoishi mitaa mbalimbali mjini…

Continue

Added by Tulonge on February 1, 2013 at 7:26 — 4 Comments

Kumi wafa kwa ajali ya boti Zanzibar

Msemaji wa Mkuu wa Polisi nchini, Advera Senso 

George Njogopa

BOTI ya abiria iliyokuwa ikitokea Pangani mkoani Tanga kwenda Zanzibar ikiwa na watu 32 juzi usiku ilizama katika eneo la Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Zanzibar ambapo watu 10 wanahofiwa kuwa wamepoteza maisha.Taaarifa zilizofikia gazeti…

Continue

Added by Tulonge on February 1, 2013 at 3:52 — No Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*