Tulonge

March 2012 Blog Posts (88)

swali: Kama ingelikutokea wewe namna hii,ungelifanyaje..!

Ndugu Wadau: Kila mmoja atakuwa wa kwanza kabisa kukubaliana na mimi nitakaposema namna hii kuwa: Ni jambo linaloeleweka bali lililokuwa wazi kwa mwanaume yeyote kuwa na sifa zake azitakazo wakati wa kutaka kuoa.Nadhani kwa ibara hiyo nitakuwa nimeeleweka vyema,na kama sijaeleweka basi naweza kufunguka…

Continue

Added by ILYA on March 31, 2012 at 16:00 — 11 Comments

Jinsi Diamond alivyo muumbua Wema Sepetu kwa kuikataa hela yake.

Kwa wale wasiyo fahamu, Wema(Miss Tz 2006) alikuwa mpenzi wa Diamond lkn walikorofishana.

Baada ya Diamond kurudi stejini ndipo mwanadada Wema Sepetu alienda kumtuza na pesa zake kukataliwa. Wema alikaa akimbembeleza kwa muda wa dakika 10 japo zoezi lake halikufanikiwa.…

Continue

Added by Tulonge on March 31, 2012 at 11:00 — 14 Comments

Nani asiye amini kuwa Diamond yupo juu?

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond, jana alikonga nyoyo za mashabiki ndani ya ukumbi wa Mlimani City Dar. Shoo yake kali ilifanya watu kusimama mara kwa mara kuonesha kukubali kazi yake. Ona tukio hilo ktk picha. Picha zote na…

Continue

Added by Tulonge on March 31, 2012 at 9:30 — 2 Comments

Cambodia: Baba amfunga mwanae kwenye nguzo ya umeme kwa mnyororo baada ya mtoto kutoroka shule na kwenda kucheza 'computer games'

An angry Cambodian father punished his son for skipping school to play computer games by chaining him by the neck to a powerline pole.

Motorbike taxi driver Sok Thoeun, 40, spotted his son in an internet cafe in the northern town of Battambang playing online games when he should have been in class.

Mr Thoeun was so outraged he decided to 'teach his son a lesson'…

Continue

Added by Tulonge on March 30, 2012 at 22:00 — 6 Comments

Ukraine: Binti alibakwa,akachomwa na sasa afariki

KIEV, Ukraine -- An 18-year-old Ukranian woman died Thursday, two weeks after her grisly rape set off protests across the country against corruption and favoritism toward the wealthy.

Prosecutors said Oksana Makar was raped by three young men on March 9 in the southern city of Mykolaiv. The men then tried to cover up their crime by strangling her, dumping her naked…

Continue

Added by Tulonge on March 30, 2012 at 21:30 — 1 Comment

Kura za wadau juu ya mpambano wa Izzo na Roma kesho kutwa(Jpili)

Hivyo ndivyo jinsi baadhi ya wadau walivyo funguka kupitia mtandao wa kijamii wa facebook

Added by Tulonge on March 30, 2012 at 17:33 — 2 Comments

CHIDI BEENZ ATAJA SABABU ZA KUTOBOA PUA.

Rapper Mfalme wa Ilala Chidi Benz baada ya kutoboa pua yake, amekubali kuzungumza EXCLUSIVE na millardayo.com nyumbani kwake kuhusu chanzo cha yeye kufanya hivyo na sababu zake.

Chidi amesema “kila kitu ni mtu jinsi unavyoishi, mimi nilitoboa pua mara ya kwanza nilivyosafiri nikaacha pini kwa hiyo ikaziba kidogo kwa hiyo nilivyorudi…

Continue

Added by Tulonge on March 30, 2012 at 17:18 — 7 Comments

UJUMBE WA LEO

To become successful in life,one should have 3 factories.

1. Ice factory in brain

2. Sugar factory in tongue

3. Love factory in heart.

Added by Tulonge on March 30, 2012 at 7:00 — 6 Comments

TANESCO YATOA UFAFANUZI WA TUKIO LA KUKATIKA KWA UMEME HIVI KARIBUNI

Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Usambazi wa Nishati Umeme nchini Tanzania (TANESCO) Bw. William Mhando (kulia) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusiana na hali ya umeme katika gridi ya taifa. Katika ufafanuzi huo amesema mitambo ya kuzalisha umeme iliyounganishwa katikagridi ya Taifa ina uwezo wa kuzalisha jumla ya MW 1270.74, wakati…

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2012 at 22:57 — 4 Comments

unapomkumbuka wife

Added by jemadari mimi on March 29, 2012 at 18:44 — 2 Comments

Utafiti: Uzaaji wa watoto wa kike hukithiri katika nyakati ngumu,hasa nyakati zile za njaa kali!.

Utafiti mpya uliofikiwa unasema kwamba wanawake wajawazito katika vipindi na nyakati ngumu hujifungua kwa wingi zaidi watoto wa kike.

Tovuti moja ya Marekani imetaja kwamba watafiti wa Chuo Kikuu cha New York-Marekani,kupitia uchunguzi wao na utafiti wao uliojumuisha watoto waliozaliwa kati ya mwaka 1959 na 1961,wamekuta kwamba kumekuwepo na  hali ya kushuka…

Continue

Added by ILYA on March 29, 2012 at 18:30 — 5 Comments

Ala!,kumbe hii ndio siri ya umaskini Tanzania!!

Wataalamu wa masuala ya kiuchumi kutoka China na Vietnam wamesema kuwa, umasikini unaoikabili Tanzania pamoja na mambo mengine, unatokana na viongozi kuwa na maneno mengi kuliko vitendo.

Wataalamu wa masuala ya kiuchumi kutoka China na Vietnam wamesema kuwa, umasikini unaoikabili Tanzania pamoja na mambo mengine, unatokana na viongozi kuwa na maneno mengi kuliko vitendo.

Walisema hayo jana mbele ya Rais Jakaya Kikwete na kukosoa mchakato wa…

Continue

Added by ILYA on March 29, 2012 at 17:00 — 3 Comments

AFANDE SELE KUWANIA UBUNGE 2015

AFANDE SELE AUTAKA UBUNGE

MFALME wa Rhymes nchini Seleman Msindi 'Afande Sele' ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Akizingumza hivi karibuni Sele…
Continue

Added by Wa Kimberly on March 29, 2012 at 16:30 — 14 Comments

Italy yataifisha mali za Gaddafi zenye thamani ya €1bn

Italian police yesterday seized asssets worth €1.1bn from the family of the late Libyan dictator Muammar Gaddafi, on the request of the International Criminal Court in the Hague.

Most the wealth was in the form of shareholdings, including stakes in Italian bank Unicredit, the Juventus football team and the energy giant…

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2012 at 9:42 — No Comments

Akon visit P-Square's Square Ville (Home) in Lagos

Konvict Music label boss, Akon yesterday paid a surprise visit to the Omole mansion of singing group, P-Square named Square Ville.

The top American hip hop star recently signed P-Square, which comprises Peter and Paul Okoye.

He was featured in Chop My Money remix, which is a track in their last album titled, Invasion.…

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2012 at 8:30 — 2 Comments

Mmarekani wa Texas, aokota begi lenye "midola" na kulifikisha kwa mwenye nalo!!

Kama kuna jambo la kushangaza ndani ya mwezi huu wa tatu wa mwaka 2012,basi linaweza kuwa ni tukio hili lililojiri pande za kule Texas-Marekani.

Katika kile kilichoonekana kuwashangaza wengi (nikiwemo na mimi), ni pale mwanaume mmoja wa jijini Texas-Marekani alipoonyesha uaminifu wa hali ya juu baada ya kuokota begi lililokuwa ndani yake na kitita cha Dola za Kimarekani $ 7,000/=,sawa na 11,161,500/= Shilingi (pesa halali) ya…

Continue

Added by ILYA on March 29, 2012 at 0:30 — 4 Comments

Vimini,kata K marufuku CBE

Chuo cha elimu ya biashara, CBE, nchini Tanzania kimeonya kuwa kitawachukulia hatua kali wanafunzi na watumishi wa chuo hicho watakaovaa mavazi yasiyo na staha wala kufuata maadili ya utumishi wa umma.

Kaimu mkuu wa chuo hicho Athumani Ally Ahmed amesema kuwa maamuzi hayo yamo katika sheria mwongozo wa mavazi wa chuo hicho ambapo wanafunzi watakaobainika watachukuliwa…

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2012 at 0:00 — 29 Comments

Brazil: Binti mwenye nywele zenye urefu wa ajabu,aziuza £3,500 kwa futi 5.

Mrembo wa Kibrazil mwenye umri wa miaka 12 Natasha Moraes de Andrare ameamplfy kwamba ameamua kuziuza kwa pound 3,500 nywele zake ndefu ambazo zinamlazimu kuzishika anapotembea, akitarajia kwamba pesa hiyo itayaboresha maisha yake.

Ukubwa wa nywele zake unamnyima uhuru wa kufanya mambo mengi, akitoka tu shuleni ni nyumbani, hawezi…

Continue

Added by Tulonge on March 28, 2012 at 15:47 — 6 Comments

T.I asababisha 'mzubao' kwa binti yake katika pati la Birthday yake!

Limefanyika pati la nguvu pande za huko majuu lililohusiana na sherehe za kuzaliwa kwa Zonnique.Zonnique ni binti kipenzi wa T.I.Katika pati hilo lililoshiba na la nguvu, baba yake na Zonnique,yaani:…Continue

Added by ILYA on March 28, 2012 at 12:00 — 9 Comments

Mambo yanayoweza kukufanya uwe MASIKINI maisha yako yote.

1. Never wake up early:

Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?

2. Never plan how to spend your money:

Whenever you get money, start spending it right away and when it is finished, try to count and recall how you spent it.

3. Don't think of saving until you have real big money:

How can you save when you earn so little? Those…

Continue

Added by Tulonge on March 28, 2012 at 7:00 — 3 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*