Tulonge

March 2013 Blog Posts (135)

Huyu ndiye anaye tuhumiwa kumuua Padri Evaristus Mushi, aliwahi gombea Ubunge 2010

IMEELEZWA kuwa, mtuhumiwa Omar Mussa Makame (35) anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumuua Padri Evaristus Mushi ni mwanachama wa CUF ambaye aligombea nafasi ya uwakilishi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF).

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Hamad Masoud alithibitisha jana kuwa, mtuhumiwa…

Continue

Added by Tulonge on March 31, 2013 at 21:10 — 4 Comments

Dondoo za sasa kuhusu jengo lililoanguka Dar,miili 28 imepatikana.

-Miili ya watu 28 imepatikana

-Kwa sasa sehemu ya chini (Basement) ya jengo hilo inafukuliwa ili kuona kama kuna miili ya watu.

-Wafiwa walalamika kuhusu urasimu unaofanyika katika kupata fedha za msaada za kusafirisha miili ya ndugu zao. Wahusika hawatoi fedha hizo kwa wakati na hawazingatii umbali ambao mwili utasafirishwa. Fedha hizo zimetolewa na Serikali

-Bohari ya madawa Tanzania (MSD) imetoa dawa kwaajili ya kutibia majeruhi,dawa hizo zimewasilishwa hospitali ya…

Continue

Added by Tulonge on March 31, 2013 at 18:00 — 2 Comments

Dondoo mpya kuhusu jengo lililoanguka Dar

-Hadi sasa maiti 20 zimepatikana

-Zoezi la uokoaji linaendelea kwa kasi baada ya vifaa vya kisasa na wataalamu wa uokoaji toka nchi zilizowahi kumbwa na matetemeko kuwasili na kuendelea na kazi hiyo.

-Hadi sasa wahusika wanne wa Jengo hilo wanaendelea kuhojiwa akiwemo mmiliki.

-Mkandarasi bado hajajisalimisha hadi sasa licha ya jeshi la polisi kumuomba afanye hivyo. Mkandarasi huyo ni Diwani wa Kinondoni Bw. Kisoki kama alivyotajwa na Kamanda Kova.

-Rais Kikwete…

Continue

Added by Tulonge on March 30, 2013 at 21:56 — 14 Comments

Kenya: Mahakama kuu yamtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Rais halali nchini humo

Willy Mutunga rais wa mahakama ya juu zaidi Kenya

Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya, imeamua kuwa rais mteule Uhuru Kenyatta atasalia kuwa rais mpya wa Kenya baada ya kusema kuwa uchaguzi ulifanywa kwa njia huru na ya haki.

Uchaguzi wenyewe ulifanyika tarehe nne mwezi…

Continue

Added by Tulonge on March 30, 2013 at 21:27 — 1 Comment

Msukuma mkokoteni anusurika kufa maji

Mkokoteni huo baada ya kuanza kutolewa nje ya bahari

Tukio hili limetokea Feri (Dar es Salaam)leo mchana wakati pantoni lilipokua likipakia ili kuanza safari yake kuelekea upande wa Kigamboni. Msukuma mkokoteni huyo alikua ameongozana na gari walipokua wakiingia ndani ya pantoni. Gari iliyokua mbele yake ilifunga breki ili kupunguza…

Continue

Added by Tulonge on March 30, 2013 at 15:26 — No Comments

Mbunge wa Chambani, Mhe Salim H. Khamis afariki dunia ktk hosp. ya Muhimbili

Mbunge wa Chambani , Pemba, Mhe. Salim Hemed Khamis kupitia chama cha wananchi CUF amefariki dunian katika hospitali ya taifa Muhimbili ikiwa ni siku moja tangu alipokimbizwa hospitalini hapo baada ya kuanguka ghafla wakati akiwa katika vikao vya kamati za bunge.

Chanzo: ITV Tanzania

Added by Tulonge on March 29, 2013 at 1:38 — 1 Comment

Italia: Papa Francis aosha na kubusu miguu ya wafungwa katika ibada ya Alhamis Takatifu

Papa Francis akibusu mguu ya mmoja wa wafungwa katika kanisa la 'Casal del Marmo' ambalo ni kanisa la wafungwa vijana nje kidogo ya mji wa Roma, Italy. Katika ibada hiyo ya Alhamis Takatifu wafungwa 12 wenye umri kati ya miaka 16 na 21 walioshwa na kubusiwa miguu yao na Papa Francis. Tendo hili lilifanyika ili kuonesha wakatoliki wanavyotakiwa kuwa karibu zaidi na…

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2013 at 1:07 — 5 Comments

Kumbe hawa ndo walisababisha tatizo kubwa la 'internet' siku chache zilizopita

Wapiga mbizi wanadaiwa kuukata mkonga wa kampuni rasmi ya mawasiliano ya Misri.

Maafisa wa utawala nchini Misri, wamewakamata wapigambizi watatu waliokuwa wanajaribu kuukata mkonga wa internet ulio chini ya bahari.

Wanaume hao walikamatwa wakiwa katika boti walilokuwa wanatumia kwa shughuli za uvuvi, katika mji wa…

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2013 at 0:39 — 3 Comments

Safisha macho na picha 5 za maua murua

Continue

Added by Tulonge on March 29, 2013 at 0:20 — 1 Comment

Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,134

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza nafasi wazi za kazi kama zilivyo katika Tangazo la Lugha ya Kiingereza na Kiswahili.Kwa mujibu wa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi nafasi hizo za kazi ambazo zinapatikana katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira ambayo ni www.ajira.go.tz ni…

Continue

Added by Tulonge on March 28, 2013 at 22:54 — 1 Comment

Anayedaiwa kumgonga trafiki kizimbani

Mtuhumiwa anayedaiwa  kumgonga na kumuua askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Elikiza Nnko, Jackson Simbo akipandishwa kizimbani  katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.Picha na Michael Jamson

Dereva Jackson Simbo (43), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…

Continue

Added by Tulonge on March 28, 2013 at 0:17 — No Comments

Huyu ni yule dogo wa miaka 8 aliyeoa jimama la miaka 61 akicheza na wenzake

Sanele Masilela (8) wa tatu toka kushoto akicheza na wenzake. Huyu ndiye yule dogo wa miaka 8 aliyeoa jimama la mika 61 huko Afrika Kusini. Sidhani kama itakua rahisi kuibadili akili yake ya kitoto na kuwa ya kiutu uzima haraka.…

Continue

Added by Tulonge on March 27, 2013 at 23:51 — 7 Comments

Mvua jijini DSM zaendelea kuleta madhara zikibomoa nyumba za wakazi..


Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zimeendelea kuleta madhara ambapo familia za nyumba 14 za Kigogo kaskazini pembezoni mwa mto Kigogo zimebomoka baada ya daraja la mto huo kuzidiwa na maji na kubadili mkondo.

Added by Tulonge on March 27, 2013 at 23:34 — 1 Comment

"Siri ya kuuawa Zitto yafichuka"-SIO KWELI

Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ‘ SIRI YA KUUAWA ZITTO YAFICHUKA’ na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu hotelini’…

Continue

Added by Tulonge on March 27, 2013 at 23:20 — 1 Comment

Iringa: Binti wa miaka 16 afanyiwa unyama

Vituko mjini Iringa haviwezi kuisha kama jamii haitakubali kwa moyo mmoja kupambana na ukatili wa kijinsia. Huyu ni Binti ZAWAD KARIM miaka 16 mkazi wa mshindo nyuma ya banki ya NBC manispaa ya Iringa amepigwa na hatimaye kunyweshwa mkojo na mama yake mdogo aitwaye Ever ubamba.

Tukio lilikuwa hivi:

Zawadi ambaye kimsingi anaishi na mama yake mzazi ambaye…

Continue

Added by Tulonge on March 27, 2013 at 22:44 — 2 Comments

Kichwa hiki cha habari kuhusu Wema kumlipia Kajala faini kipo sahihi?

Hiki ni kichwa cha habari cha gazeti moja hapa Tanzania kuhusu suala la Muigizaji wa filamu za Kibongo Wema Sepetu kumsaidia msanii mwenzie Kajala kuepukana na kifungo cha miaka 7 jela baada ya kuamua kumlipia faini ya Tsh 13milioni.

Je kitendo alichofanya Wema ni kufuru? Nini maana ya neno kufuru. Msaada tutani wadau wa…

Continue

Added by Tulonge on March 26, 2013 at 23:00 — 3 Comments

Mafunzo ya JKT ya muda mfupi kwa wabunge yafungwa rasmi leo

Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi mbunge wa viti maalum Ester Bulaya leo katika kambi ya RUVU JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi hayo leo yaliyofanyika kwa wiki tatu.…

Continue

Added by Tulonge on March 26, 2013 at 22:21 — 5 Comments

Tarime: Kaya 3 zateketea kwa moto(video)

Kundi la wananchi wenye hasira huko Tarime mkoani Mara limevamia nyumba tatu na kuziteketeza kwa moto pamoja na mashamba yao kwa madai ya kuwatafuta watuhumiwa wa ujambazi waliovamia kwa mfanyabiashara mmoja na kupora kisha kumuua mpita njia mmoja.

Added by Tulonge on March 26, 2013 at 21:52 — 3 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*