Tulonge

April 2012 Blog Posts (103)

Henderson: Mbwa amuua mtoto wa mwaka mmoja siku ya kuzaliwa ya mtoto huyo.A baby's first birthday party turned tragic when he was killed by the family's dog during the celebration.

The Las Vegas Sun reports that the 120-pound Mastiff/Rhodesian mix had never displayed any previous signs of aggression toward people, according to the family who lives in Henderson, Nev.

The baby crawled over to the dog to pet him, the police…

Continue

Added by Tulonge on April 30, 2012 at 23:00 — 2 Comments

Mahakama yamvua ubunge mbunge wa Sumbawanga (CCM)

Hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa sumbawanga mjini wa Aeshy Hilaly Halphany CCM dhidi ya mwalimu Norbet Joseph Yamsebo wa Chadema ambaye anadai kuchakachuliwa katika uchaguzi huo.

Madai miongoni ni pamoja na kutoa rushwa kwa makundi mbalimbali na watu wengi walijitokeza kutoa ushahidi huo na kukiri kuwa ni kweli walipokea vitu mbalimbali ikiwemo fedha,…

Continue

Added by Tulonge on April 30, 2012 at 22:00 — 8 Comments

Diamond alipoingia na Helkopta ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala

Diamond akiwa ndani ya helkopta kuelekea ukumbi wa Dar live kufanya show. Hapa anaonekana kama anaomba Mungu afike salama

Mwanamuziki Diamond anayevuma kwa sasa hapa nchini kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake kwenye ukumbi wa Dar Live, onyesho hilo lililofanyika jana siku ya…

Continue

Added by Tulonge on April 30, 2012 at 22:00 — 11 Comments

Cheka ashinda gari jana kwa kumtwanga Maugo na kupata nalo ajali leo.

Jana usiku katika ukumbi wa PTA, Dar es Salaam kulifanyika mpambano wa kuwania ubingwa wa IBF kati ya Francis Cheka (Morogoro) na Mada Maugo (Dar es Salaam).

Pambano hilo lilikuwa la raundi 12 lakini ilipofika raundi ya sita kabla ya kuanza raundi ya saba, Maugo alitangaza kutokuendelea na mchezo kwa kile alichodai kuishiwa na pumzi na kusema, '...sirudi, jmaa…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2012 at 21:30 — 3 Comments

Simba ni nomaaaa..yaigaragaza Al-Ahly 3-0, kombe la shirikisho.

Hizi ndizo Bunduki za Simba zilizo iua Al-Ahly leo

Timu ya Simba ya Tanzania leo imefanikiwa kuigaragaza timu ya Al-Ahly ya Sudan kwa jumla ya mabao 3 kwa 0 katika mchezo wa kombe la shirikisho Barani Afrika uliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kwa matokeo haya Simba imeipa kazi…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2012 at 18:00 — 5 Comments

Picha za Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa...

Huu ni mwili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Msafiri Mbwambo (38) baada ya kuuawa

Waweza bofya hapo chini ili kuona picha zaidi. Ni picha za kutisha kidogo, inabidi ujiandae.…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2012 at 16:00 — 8 Comments

Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Mashariki auawa kwa kuchinjwa shingo

Aliekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Usa-River, Arumeru Mashariki Ngd Msafiri Mbwambo kabla ya kifo chakeMussa Juma na Peter Saramba , Arusha

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Usa-River, wilayani Arumeru mkoani Arusha, Msafiri Mbwambo (32) ameuawa kinyama kwa kuchinjwa na watu…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2012 at 1:30 — 7 Comments

Hispania: Ndege yanusurika kusombwa na upepo mkali wakati wa kutua

Picha za kushangaza zimenasa tukio la kutisha na kusisimua pale marubani na abiria wa ndege wakikaribia kifo kufuatia ndege yao kushambuliwa na upepo mkali wakati ikijaribu kutua kaskazini mwa Hispania wiki hii.

Picha hizo za ndege iliyokuwa ikijaribu kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Loiu mjini Bilbao zimeonesha ndege hiyo ikisukumwa kando na kutikiswa kiasi cha…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2012 at 1:07 — 1 Comment

Ule ushirikiano wa kuchangia HARUSI tuugeuzie kwa kumchangia Sajoki, anaumwa!!

Kufuatia hali ilivyo (alivyoonekana zamani na alivyo sasa hapo juu), ziro99blog tunatoa wito kwa wasomaji wetu na wadau mbalimbali tumchangie fedha msanii maarufu wa filamu nchini, Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki kwa ajili ya matibabu yake kupitia simu ya mkononi kwa kutuma kwenye Tigopesa namba 0713 666 113 au kwenye akaunti namba…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2012 at 1:00 — 15 Comments

China: Ajabu na kweli, jamaa atembea juu ya kamba iliyofungwa urefu wa futi 6,000 juu ya usawa wa bahari.

American daredevil Dean Potter loves a challenge, and his latest thrill-seeking stunt is no exception.

Footage published by the Telegraph shows 40-year-old Potter walking 132 feet on a one-inch slackline across the Enshi Grand Canyon in China's Hubei province.

Impressively, the barefoot adventurer completed the challenge at…

Continue

Added by Tulonge on April 28, 2012 at 22:16 — 3 Comments

Malawi: Rais Joyce Banda amfuta kazi ndugu yake marehemu Mutharika.Rais mpya wa Malawi Joyce Banda amemfuta kazi Waziri wa mambo ya nje Peter Mutharika ambae ni kaka yake Marehemu Rais Bingu Wa Mutharika aliyefariki dunia mwezi huu, ambapo waziri huyo aliyefukuzwa alitarajiwa kurithi nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2014 ambapo Bingu Wa Mutharika alitarajiwa kustaafu.

Mabadiliko ya baraza la mawaziri yametokea siku…

Continue

Added by Tulonge on April 28, 2012 at 8:21 — 5 Comments

Kuna ukweli juu ya ujumbe huu?

Added by Tulonge on April 27, 2012 at 23:30 — 6 Comments

Ramsey Nouah atangaza kuachana na tansia ya uigizaji

Ramsey Nouah

One of Africa’s brightest movie stars, Ramsey Nouah has disclosed that he is on the verge of bowing out of his cherished love, acting, after about two decades on the silver screen.

The actor made his breakthrough into one of the world’s biggest movie industries, Nollywood, after auditioning and earning a…

Continue

Added by Tulonge on April 27, 2012 at 22:30 — 3 Comments

Ona helkopta ambayo Diamond atashuka nayo ndani uwanja wa Dar Live Mbagala.

Huyu ndiye Diamond, msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Tanzania ambaye anatarajia kufanya show ndani ya uwanja wa Dar Live Mbagala jumapili April 29. Hii ndiyo Helkopta ambayo anategemea kuwasili nayo ndani ya uwanja huo.

Added by Tulonge on April 27, 2012 at 18:00 — 6 Comments

ALICHOKISEMA BABA KANUMBA KUHUSU MAMA KANUMBA KUVURUGA ISHU YA MIRATHI NDIO HIKI.

Baba mzazi wa Kanumba anaeishi Shinyanga 87.5 ambae alishindwa kuja msibani kutokana na kuumwa, amezungumza Exclusive na millardayo.com na kusema kwamba sasa yuko tayari kuja Dar es salaam kushughulikia swala la Mirathi baada ya kudai kwamba mama mzazi wa Kanumba ambae yuko Dar ameanza kuharibu kuhusu ishu ya mirathi.

Amesema “Tutakaa kikao jumamosi kuteua…

Continue

Added by Tulonge on April 26, 2012 at 23:22 — 10 Comments

Swazi king gets birthday jet amid financial crisis

Swazi King Mswati III has received a jet for his 44th birthday, despite the tiny country's crippling financial crisis, the prime minister said on state radio Wednesday.

Prime Minister Barnabas Dlamini said the king now owns a McDonnell Douglas DC-9 twin-engine jet, but insisted the plane was a gift to be used by Mswati and his 13 wives.

"His majesty's government has the honour to announce to the nation that the king has…

Continue

Added by Mama Malaika on April 26, 2012 at 20:30 — 2 Comments

Hiki ndicho jamii inachotaka kukiona???Ndugu zangu,

Nimehuzunishwa na picha za Mahakamani kwenye magazeti ya jana zikimwonyesha msichana Elizabeth ' Lulu' Michael akilia hadharani.

Nikivaa miwani ya mzazi nilimwona mtoto ambaye angeweza kuwa wangu. Nilimwona mtoto anayedhalilishwa mbele ya macho ya jamii. Nilimwona mtoto anayehukumiwa na jamii ambayo hadi sasa haijui ukweli wa…

Continue

Added by Tulonge on April 25, 2012 at 6:53 — 8 Comments

Kumbe hata China kuna ulipuaji kwenye ujenzi wa sehemu za waenda kwa miguu,ona kilichomkuta dada huyu.A surveillance camera catches the moment an unsuspecting girl falls through a pavement while walking down a street in northern China.

The pavement caved in under the teenager's weight as soon as she stepped onto a section of the walkway.

What followed was a dramatic rescue attempt by a passing taxi driver. His heroic actions were also filmed by close…

Continue

Added by Tulonge on April 25, 2012 at 6:30 — 2 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*