Tulonge

April 2013 Blog Posts (92)

Mvua zinazoendelea kunyesha zaleta kero kwa wakazi wa DSM

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesabisha kero mbalimbali ikiwemowatu kukaa katika foleni kwa takribani saa nne huku gari moja likinusurika kuungua moto baada ya kuzama katika dimbwi la maji.

Added by Tulonge on April 30, 2013 at 22:29 — No Comments

Huwezi amini kama hii njemba shoga, ni Jason Collins 'NBA player'.

Huyu ndiye Jason Collins, mcheza kikapu wa kulipwa wa ligi ya kikapu huko Marekani NBA ambaye jana amejitangaza kuwa ni SHOGA. Ana miaka 34, amecheza kikapu kwa miaka 11 hadi sasa. Ana pacha wake ambaye hakuwahi kuhisi kuwa Jason ni Shoga hadi…

Continue

Added by Tulonge on April 30, 2013 at 21:00 — 18 Comments

Linesman Goes Crazy & Attacks Player In Russia - He (Musa Kadyrov) Was Banned For LifeRussian linesman Musa Kadyrov has been served with a lifetime ban from football after a shocking assault during a reserve match.

Kadyrov lost the plot during last Friday's game between Amkar and Terek where the man in yellow began punching and kicking Amkar's Ilya Krichmara in one of the most shocking incidents of football violence seen this…

Continue

Added by Tulonge on April 30, 2013 at 2:25 — 4 Comments

Michael Jordan alipofunga ndoa yake ya pili juzi

Aliyekua Mcheza kikapu wa Marekani Michael Jordan(50) alifunga ndoa yake ya pili na Mwanamitindo wa Marekani Yvette Prieto (34) jumamosi iliyopita. Harusi hiyo ilifanyika huko Florida na kuhudhuriwa na watu takribani 2,200 na iligharimu kiasi cha $10 milioni.

Harusi hiyo ilifanyika kwenye hema la ukubwa wa 40,000 sq ft lililojengwa karibu na nyumba anayoishi…

Continue

Added by Tulonge on April 30, 2013 at 1:30 — 4 Comments

Tazama maandamano ya wana Chadema baada ya Lema kuachiwa kwa dhamana (Video)


Mbunge wa jimbo la Arusha Mh. Godbless Lema amepandishwa kizimbani katika mahakama kuu kanda ya Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi uliosababisha vurugu katika chuo cha uhasibu cha Arusha uliopelekea chuo hicho kufungwa kwa muda usiojulikana .

Added by Tulonge on April 30, 2013 at 0:11 — 4 Comments

Lema (Mb) asomewa shitaka na kupewa dhamana

Asubuhi ya leo, kama ilivyotarajiwa na wengi baada kufuatia taarifa mbalimbali katika vyombo vya habari, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mkoa Arusha baada ya kukaa rumande tangu alipokamatwa usiku wa kumkia siku ya Jumamosi, Aprili 27, 2013.Mbele ya hakimu Devotha Msofe na mawakili Kimomogoro na Humphrey Mtui…

Continue

Added by Tulonge on April 29, 2013 at 15:00 — 3 Comments

Kigamboni: Halmashauri, Wizara wabomoa nyumba 37 usiku; 100 hawana makazi

Watu zaidi ya 100 wanaoishi eneo la Minondo, Kigamboni hawana makazi baada nyumba zao 37 kubomolewa katika zoezi lililoendeshwa usiku wa manane na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi ya Maendeleo ya Makazi.

Zoezi hilo limefanywa ili kupisha ujenzi wa nyumba za viongozi wanaodaiwa ni wa serikali wakiwamo watumishi wa Jeshi la Ulinzi na Usalama.

Kwa mujibu wa wananchi walioathirika na zoezi hilo, tukio la ubomoaji lilifanyika saa 9:00 usiku hadi saa…

Continue

Added by Tulonge on April 28, 2013 at 22:30 — 2 Comments

Mbeya: Aliyezikwa akiwa hai afukuliwa akiwa mfu

Kazi ya kufukua kaburi ikiendelea.

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa kijiji na kata ya Mkwajuni Wilaya ya Chunya Mkoani hapa wamemzika Mwanakijiji mwenzao akiwa hai wakimtuhumu kusababisha kifo cha Mkazi mmoja kijijini hapo.

 

Tukio hilo la kusikitisha limetokea Apri 26 mwaka huu majira ya Saa Nane Mchana…

Continue

Added by Tulonge on April 28, 2013 at 22:30 — 3 Comments

Mambo matatu aliyohojiwa Lema Polisi

Arusha: Kushikiliwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema kumeendelea kuibua sokomoko baina ya polisi kwa upande mmoja na wafuasi wa Chadema na familia yake kwa upande mwingine.

Arusha. Lema aliyekamatwa usiku wa manane kuamkia Ijumaa wiki hii, alihojiwa kwa saa tatu mfululizo katika Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha lakini alinyimwa…

Continue

Added by Tulonge on April 28, 2013 at 2:00 — 2 Comments

Teh teh teh!! Wadau kuna ukweli hapa?

Added by Tulonge on April 27, 2013 at 23:45 — 5 Comments

Mtoto (14) asafiri toka Dar hadi Dodoma akiwa chini ya basi

Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 14 akitoa maelezo baada ya kusaidiwa kutoka kwenye chassis ya basi alilokuwa amejificha tangu Dar es Salaam mpaka Dodoma.

Via: vijakazi.co.tz

Added by Tulonge on April 27, 2013 at 22:30 — 11 Comments

Tazama video ya jamaa akiendesha baiskeli yenye urefu wa futi 14.5

I hope this bike comes with training wheels...

YouTube Description: STOOPIDTALL - CICLAVIA 2013 - LA BIKE CULT - It's safe to say that you probably won't see this bike on public streets again any time soon. What an awesome adventure, but too much risk to bring around others. Thanks for all the support and all those beautiful smiles.

14.5ft at the…

Continue

Added by Tulonge on April 27, 2013 at 9:47 — 6 Comments

Rais Jakaya Kikwete asamehe wafungwa 4,000 nchini

Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano yaliyofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.Picha na Silvan Kiwale

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania katika maadhimisho ya miaka 49 ya muungano yaliyofanyika katika Uwanja wa…

Continue

Added by Tulonge on April 27, 2013 at 7:30 — No Comments

Messi alipolazimika kununua nyumba za majirani zake kuepuka kelele/fujo zao

Mwanasoka bora wa dunia Lionel Messi, hivi karibuni alilazimika kununua nyumba za majirani wanaoizunguka nyumba huko Barcelona Hispania bila kupenda.Kwa mujibu wa taarifa kutoka SportsGrid ni kwamba majirani wa Messi walikuwa wanazifanyia marekebisho nyumba zao, lakini kwa bahati mbaya wakaishiwa na fedha katikati ya marekebisho hayo huko mjini Castelldefels,…

Continue

Added by Tulonge on April 26, 2013 at 19:24 — 3 Comments

Kilimanjaro: Mzee wa miaka 49 amlawiti mwanafunzi wa darasa la tano

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Baltazar Panklas Swai (49) mkazi wa Kitasha Mengeni wilyani Rombo mkoani Kilimanajro anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wa darasa la tano mwenye matatizo ya akili.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa kwa waandishi habari inasema  tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Aprili 25 katika kijiji cha Aleni Chini.

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limesema kitendo hico kimemsababishia maumivi…

Continue

Added by Tulonge on April 26, 2013 at 19:06 — 1 Comment

Msako wa Polisi DSM umebaini makosa 3441 yakihusisha vyombo vya usafiri

Msako wa jeshi la polisi katika kanda maalum ya Dar es Salaam uliochukua siku nne umebaini makosa 3,441 yakihusisha vyombo vya usafiri katika uvunjaji wa sheria za barabani ambapo faini ya shilingi milioni 26 na laki nne zimekusanywa huku watuhumiwa wengine wakifikishwa mahakamani.

Added by Tulonge on April 26, 2013 at 10:20 — No Comments

Alichokisema Nassari kuhusu Lema kukamatwa na Polisi

MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Joshua Nasari

Nimepata kwa mshtuko na nikakataa kuamini kama ni kweli kuwa polisi wa Arusha wamevamia na kuizingira nyumba ya mbunge mwenzangu wa Arusha, Lema.Nimelazimika kumpigia simu RPC kuthibitisha na cha ajabu akaniambia ni…

Continue

Added by Tulonge on April 26, 2013 at 10:00 — 8 Comments

Lema: RC amenitumia ujumbe wa vitisho

Arusha. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amedai kupokea ujumbe wa vitisho kwa simu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Lema alidai kuwa ujumbe huo umeandikwa kupitia simu ambayo namba 0752960276 na unaosomeka: “Umeruka kihunzi cha kwanza, nitakuonesha kuwa mimi ni serikali,…

Continue

Added by Tulonge on April 26, 2013 at 8:18 — 2 Comments

Una kipi cha kusema juu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao umetimiza miaka 49 leo?

Mwalimu Nyerere akichanganya Udongo wa Tanganyika na Zanzibar kuashiria Muungano uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka 49 iliyopita.

Added by Tulonge on April 26, 2013 at 8:13 — 3 Comments

Ni sahihi kwa askari huyu kutenda hili?

Ni haki kwa askari wa usalama barabarani kufanya kitendo hiki? Sina hakika tukio hili lilitokea eneo gani. Lkn uniform za Kondakta, rangi ya gari na uniform ya askari vinaonesha tukio hili lilitokea hapa Dar es Salaam.

Juzi kuna dereva mmoja alitiwa mikononi mwa polisi kwa kosa la kumkunja mkono askari wa usalama barabarani, na atafikishwa mahakamani muda wowote. Sina…

Continue

Added by Tulonge on April 25, 2013 at 21:54 — 4 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*